Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitambulishwa na Mbunge wa Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ukezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary (kulia) kwa Wananchi kutoka jimbo hilo waliotembelea Bunge mjini Dodoma Junu 27 kwa mwaliko wa mbunge wao.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma juni 27, 2014. Kutoka kushoto ni Martha Mlata wa Viti Maalum,Tundu Lissu wa Singida Masharikina na Felister Bura wa Viti Maalum. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mbinga Magharibi Cpt. John Komba, Bungeni Mjini Dodoma Juni 27, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge Samuel Sita wa Urambo Masharikiambaye pia ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki (katikati) na Mbunge wa Tabora mjini Aden Rage kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 27, 2014.