Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

HAYA NDIO MADHARA YA SHISHA KIAFYA..SOMA HII

$
0
0
Vijan wengi sikuhizi wamekua wakitumia shisha kama moja ya starehe yao,hufanya hivyo bila kujua inamadhara gani katika afya zao na maisha yao.Shisha inamchanganyingo wa vitu ving sana mfano Tumbaku,kemikali,bangi,nk.Kwa utafiti waki sayansi,Shisha imeonekana inamadhara makubwa sana kiafya.Madhara hayo ni;-
1.Inamadhara sawa na sigara.
2.Ina carbon monoxide(co) hii inaeza ikawa sawa au zaidi kuliko kwenye sigara,ambayo inaleta madhara kwenye viungo vya mwili.
3.Shisha imeweza kuchukua kiasi kikubwa cha nicotine,carbon monoxide(moshi wa gari),cobalt nk,pamoja na kemikali ambazo zinaeza kusababisha kansa.
4.Mkaa katika shisha utumikao kuchoma tumbaku,unaeza kuleta matatzo makubwa sana kiafya,maana unauvuta moshi ule direct kwny mwili kma ulivyo,inaweza sababisha ukapata madhara katika mwili.Unaeza pata ugonjwa wa mapafu,ugonjwa wa moyo na kansa pia,kifua kikuu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>