Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BABY MADAHA AZIDI KUKOLEZA MOTO BOFU LAKE NA DIAMOND PLATZNUM LIVEEE!!

$
0
0


"Tarehe 22 Jumapili Disemba mwaka huu pale Golden Tulip nitamuonyesha Diamond,kuwa Queen of Swagg ni nani,ambapo yeye alizindua Single moja ya ngololo pale Serena mimi ninazindua single 4 moja ikiwa ni Soundtrack na Move yangu mpya ya the Galbladder, iliyonigarimu mamilioni kuitengeneza nje ya nchi,huku show nzima
ikidhaminiwa na Heinekein ambao pia ndiyo wadhamini wa lebo ya Candy& candy ya jijini Nairobi, huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa kiongozi mzito kutoka Ikulu ya Rais Kikwete pale Magogoni jijini Dar es Salaam"alisema Baby Madaha.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>