Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

REMEMBERING 2 BIG TALENTS ZA MUZIKI WA BONGO NI MIAKA 9 SASA TOKA WAMETANGULIA MBELE YA HAKI LIVE!!

$
0
0

Leo TANZANIACLASSIG  ni   siku  ambayo   tunayoikumbuka kwa majonzi ya kuondokewa na wenzetu mtangazaji na rapa Vivian Tilya pamoja na Producer Compplex, ikiwa ni miaka ni miaka 9tangu kufariki kwao mwaka 2005 jumapili 21 ya mwezi wa nane, majira ya saa tatu asubuhi.
Siku ambayo vipaji viwili vya bongo flavour Producer\Rapper Complex ambaye kipindi hicho alikuwa akifanya kazi Aigies Records na mtangazaji wa Clouds\Rapper Vivian walifariki kwa ajali ya gari eneo la Mbwewe wakiwa safarini kutoka Morogoro kwenye Fiesta iliyopewa theme ya MOTO Zaid,    Hakika   tutawakumbuka   kwa     ubunifu   wao   pamoja   na    uchapakazi    wao,   kwa   upande   wa     VIVIAN  alikuwa   ni    mtangazaji   wenye   kipaji   ambaye   alifanya    kazi     yake    kwa    ufanisi    mkuwa    zaid   akiwa    ndanii   clouds     fm,

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>