Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO IKULU KUTOKA KWA MABALOZI WANNE

$
0
0

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wanne wanaoziwakilisha nchi zao hapa.Mabalozi waliowasilisha hati zao leo ikulu jijini Dar es Salaam ni pamoja na Balozi Ismail Salem wa Malaysia,Balozi Georges Aboua wa Cote d’Ivore, Balozi Thony Fred Balza Arismendi wa Venezuela na Balozi Ahmat Awad Sakine wa Chad.Pchani mabalozi hao wakiwasilisha hati zao kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Huku Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma(Katikati) akishuhudia na kuongoza hafla hiyo.D92A4767Mhe.Ismail Salem Balozi wa Malaysia akiwasilisha hati zake kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Katikati ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.

D92A4863
Mhe.Georges Aboua Balozi wa Cote d’Ivore akiwasilisha hati zake kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Katikati ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.
D92A4979
Mhe.Thony Fred Balza Arismendi Balozi wa Venezuela akiwaasilisha hati zake kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Katikati ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.
D92A5062
Mhe Ahmat Awad Sakine Balozi wa Chad akiwasilisha hati zake kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Katikati ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma(picha na Freddy Maro).

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>