Mkali wa leo: Beki wa Ujerumani, Mats Hummels akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee timu yake katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la Dunia Uwanja wa Maracana, Brazil dhidi ya Ufaransa na kuiwezesha kutinga Nusu Fainali ya michuano hiyo.