Picha zinazoonyesha jinsi mtangazaji wa kituo cha Redio cha Times, Khadija Shaibu alivyochezea kichapo kutoka kwa mumewe, Edzen Jumanne.
Omari Chaka, Chiku Samson, Maua Peter and 3067 others like this.- Rebecatitus OsoroMwanamke hapigwi hiv anapigwa kwa kitenge au kanga
- Julieth BuchwaPole dada
- Sophie Johnatulie kuolewa xaxa anajijua hajamaliza starehe kwa nini aolewe
- Maua PeterMmmmm
- Maria Christiankweli@sophia john.huweza kuwa na vyote kwa wakati mmoja ndoa ww,starehe ww.ukiamua ndoa tulia bibi weeeeeeeeeee.ukitaka starehe ndoa waachie wenyewe.haiwezekani mume awe ndani amelala we upuyange viwanja vyote.pole dida.karibu batani
- Sophie Johnhlo nalo neno@maria
- Maria Christianusituchukie dida we tulia zako bibi wewe kula bata.maana mwanaume wa kumpata we ule bata ye abaki hme ngumu.kama utamu wa ndoa na uchungu wake umeshauona.kisema mwana FA bado nipo nipo kwanza.duhuu.utatolewa ngeu bure ukose mwengine wa kukuoa.poleeeeeeeeeeeeeee dida
- Sophie Johnna huyo ezden angoje madongo yake kutoka kwa mkewe
- Maria Christianaha sana tu Sophie John .
- Sophie Johnmaana wanaume anaoachana nao anawapaga vijembe hatari@maria
- Monica SimonMshamba huyo kiboko cha kumchapia mkewe ni mahaba tu naco ngumu. Kaa! Huyo mbona anaishi zama za Ujima?
↧
UJUMBE WA WANANCHI KUHUSU EDZEN MUME WA SUPER STAR DIDA KUMPIGA MKEWE KAMA NGO'MBE SOMA HAPA LIVE!!
↧