Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BREAKING NEWSS::AJALI MBAYA YATOKEA ENEO LA MBEZI BEACH KARIBU NA GIRRAFE HOTEL

$
0
0
 Gari yenye namba za usajili T 959 BSS iliyosababisha ajali hiyo na Bajaj.



 Bajaj ikiwa imejikunja baada ya kugongwa na gari hiyo
  Gari ikiwa imeharibika vibaya

Ajali mbaya imetokea mda huu maeneo ya mbezi beach karibu na Girrafe Hotel ambapo Gari ndogo imegonga bajaj iliyokuwa na watu wawili ndani na inasemekana mtu mmoja amefariki dunia,na pia kuna majeruhi hali zao ni mbaya wanakimbizwa hospitali.Tutakuletea Taarifa kamili

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>