Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

HII NAYO KALI KISA FUMANIZI, NI YULE JAMAA ALIYE MNASA BABA MWENYE NYUMBA NA MKE WAKE

$
0
0

Stori:  Issa Mnally na Richard Bukos

JAMBO limezua jambo! Yule jamaa aliyefahamika kwa jina la Huruma Bernard ambaye alidai kumfumania baba mwenye nyumba wake, Lugali akitaka kuvunja amri ya sita na mkewe, hatimaye ameamua kuhama nyumba.
...Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati wa fumanizi.
Fumanizi hilo liliripotiwa na gazeti hili, toleo la wiki iliyopita likiwa na kichwa cha habari, ‘VUNJA JUNGU GESTI’ ambapo Huruma alimfumania baba mwenye nyumba huyo kwenye gesti moja iliyopo Buguruni, Dar.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles