$ 0 0 Watu wakiuangalia mwili wa mtu ambaye hakufahamika jina jina lake baada kugongwa na gari lisilofahamika na kufa papo hapo, katika eneo la bohari ya mkoa kati ya bunge na kituo cha mabasi yaendayo mikoani, barabara ya Morogoro - Dodoma. Polisi wa usalama barabarani wakisaidiana na wananchi kuupakia mwili wa mtu aliyekutwa amegogwa na kufa papo hapo na gari ambalo halikujulikana baada ya kukimbia katika barabara ya Morogoro - Dodoma karibu na jengo la bunge la Tanzania. Picha zaidi>>.