Hii ndio Ranch ya Ali Mmiliki wa Lake Oil Company, yenye eka 30 imezungushiwa ukuta mwanzo wa uka ya kwanza mpaka ya 30 na humu ndio ndani kulikvyo hapa ni sehemu ya bustani. |
Haya yote yamo ndani ya Ranchi. |
Ameniambia kwamba hii ndio alama yake kwa sababu ndio kampuni yake ya kwanza aliyoanza kumiliki baada tu ya kumaliza shule. |
Baadhi ya mabwawa manne ya samaki wa kufuga ndani ya Ranchi huku Mabilionea wenzake wakionyesha kushangazwa na utajiri wa ajabu wa mwenzao. |
Mabilionea wote hapa bado wamepigwa na mshangao. |
Gari tulilolitumia kwenda huko likiwa limechafuka kuliko maelezo maana kufika huko sio mchezo ni mbali sana. |
Katika sehemu hii atatunzia Farasi anao wengi sana tayari in another location. |
Maelezo kwa Mabilionea wengine kuhusu sehemu za shamba na kinacholimwa. |
Then Bilionea Ali gave us a bog shock kwa kutuonyesha mahali pa kupumzikia ambayo ameijenga karti kati ya maji ya bahari na hivi ndivyo ilivyokuwa. |
Hivi ndivyo palivyo ukiwa kwa juu unaanza kushuka ngazi pole pole. |
Process ya kupanda na kushuka. |
Hii ni sehemu tu ya kupumzika kwa Bilionea Ali na familia yake na marafiki wakija hapa ni kati kati ya maji!! |
Le Mutuz with Another Bilionea Friend Dewji. |
Le Mutuz with another Bilionea The Owner of Traans Inc. |