Kajala Masanja
Baada ya gazeti hili kutoa hii habari jana na kumshtumu Kajala kuvunja amri ya sita na mme wa Shamim hatimaye leo ameamua kufunguka na kupitia Instagram na kuandika huku akikanusha habari hizo na kusikitika na habari ambazo ni za uongo zinazo andikwa na magazeti juu yake. Katika ujumbe huo Kajala ameandika ujumbe ufuatao:
Ads not by this site