Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK ON TANZANIA WHERE DID WE GO WRONG?

$
0
0
@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:-MUDA MCHACHE ULIOPITA NIME-POST HABARI YA MWANADADA MMOJA BONGO KUTENGENEZA USD $ 7,000 KWA MWEZI AKIWA NYUMBANI TU KWA KUTUMIA MTANDAO, TO MY SHOCK IN THE LAST 30 MINUTES IMEPITIWA NA VISITORS 15 TU! LAKINI ILE YA KAJALA KUTEMBEA NA MUME WA MTU NIMEI-POST THE VERY SAME TIME IMEPITIWA NA VISITORS 30,000 TAYARI FOR THE LAST 30 MINUTES!!
- NDUGU YANGU MBONGO MWENZANGU AMUA MWENYEWE HILI TAIFA TUPO WAPI KISAIKOLOJIA, MAANA MAENDELEO YA TAIFA HUANZA KWENYE AKILI ZA WANANCHI WA LILE TAIFA KWANZA!! JAMANI JIONI NJEMA SANA!!
- LE MUTUZ
  • Negwako AD Mwasanyulaumbea ndiyo imekuwa jadi yetu!! twashabikia sana umbea!
  • William J. MalecelaSISTER KWA KWELI NILITEGEMEA ILE POST KUPITIWA NA VISITORS WENGI WENYE KIU YA KUJIFUNZA NAMNA YA KU-MAKE MONEY UKIWA NYUMBANI NA MTANDAO TU LAKINI SIO KAMA NILIVYOFIKIRI NDIO MAANA MITANDAO IMEJAA MATUSI KILA KONA, SAD!!
  • Negwako AD Mwasanyulahata huku mitaani watu wananunua sana vitabu vya hadithi chafu na magazeti ya udakuzi kuliko vitabu vya ufugaji kuku na magazeti ya habari,halafu wakiona mtu katajirika wanasema mwizi,kumbe AKILI KICHWANI. TUMEKALIA UMBEA TU!!
  • Paul Mwanyikawa-TZ wengi tunapenda sana kufuatilia ishu nyepesi nyepesi ambazo zina husu ujinga.
  • William J. MalecelaJAMANI TUJARIBU KUONGEA SOLUTIONS TULIKOSEA WAPI KAMA TAIFA NA NINI CHA KUFANYA TUREKEBISHE JAHAZI HILI LA taifa!!
  • Paul MwanyikaCounselling katika ishu za kujikwamua na umasikini zianze kutolewa since Primary level ili watoto wawe na kiu na mambo ya maendeleo toka wakiwa wadogo. Wazazi pia wawe na mipaka kwa watoto ktk matumizi ya vitu fulani ambavyo vinawafanya watoto waone kila kitu ni cha kawaida
  • Coleta KasonsoKNA WA2 WAKO FB ULIMBUKENI 2,MFANO UKIPOST MAMBO YA MUNGU LKE UTAPATA CJUI 5,LAKINI UKPOST LULU KAVAA NUSU UCHI MICOMENT KBAO ,KNA MAENDELEO HAPO! 2TABAKI KPGA KELELE2
  • Pascal MwanjabalaHatujakosea sana,tunaweza jirekebisha...watu maarufu watumie blogs na mitandao ya kijamii kiujumla waanze kuandika vitu critical tu,watu watazoea kubrainstorm..tatizo watu maarufu ndo vinara wa kuandika habari za kawaida almaarufu udaku...haimaanishi always wawe wanazungumza vitu critical ila mara nyingi waelekeze muda mwingi huko
  • William J. MalecelaDADA Coleta Kasonso, MZIMA MY SUPER DADA NAOMBA TUTAFUTE SOLUTIONS ILI TUWASAIDIE WENGINE MAANA TATIZO NI UELEWA TU
    6 minutes ago·

    • Isabella Lemaaaaaah post mabadiliko ya katiba na u andike diamond au wema wafumwa china utaona wapi itapitiwa nawatu wengi.... watanzania tunapenda kufuatilia yawatu nakutaka kujua mtu anaishije kuliko mambo ya msingi mwisho wasiku tufanye yanayotuhusu nafaida uwa napitia post zako unakuta watu wanatukana nakudisicus mambo yuawatu na umbeyaa tubadilike jaman huo mda wakufuata yawatu jaribu kufanya maendeleo yataifa nihayoy tu# lemutuZ
      about a minute ago via mobile·


      • Rehema MwakaNi kweli bro yaani tuliowengi, tunapenda kuishi maisha ya watu wengine na co yetu utakuta mtu anakuelezea jambo la hadi la nyumbani kwake, ss unabaki kujiuliza? Huyu mwenzetu imekuwaje! Ki ukweli tubadilike badala ya. Kufuatilua yaco kuhs fanya usafi, hata wa nyumbani kwako!!!


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>