Social Security Regulatory Authority (SSRA) Director General; Mrs. Irene C. Isaka; receiving a Trophy from the Guest of Honor; Hon. Dr. Ole Medeye; Deputy Minister for Lands, housing and Human Settlements; After SSRA emerging the 1st Winner of the Best Presented Financial Statements for year 2012; under category of International Public Sector Accounting Standards ( IPSAS ).
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Bi. Irene Isaka akipokea tuzo ya NBAA toka kwa mgeni rasmi Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Mh. Goodluck Ole- Medeye baada ya kuwa mshindi wa kwanza katika uwasilishaji wa hesabu safi katika mwaka 2012,katika kundi la Mamlaka za Usimamizi zinazotumia mfumo wa “ International Public Sector Accounting Standards ( IPSAS) katika uandaaji wa mahesabu.
NBAA Board Chairman Professor Musa Assad congratulating SSRA DG Mrs. Irene Isaka, during NBAA award ceremony held at Naura Spring Hotel in Arusha
Mwenyekiti wa Bodi wa NBAA Professor Musa Assad akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka wakati wa hafla ya utoaji tuzo za NBAA iliyofanyika katika hotel ya Naura Spring Arusha.
Mr. Juma Muhimbi, NBAA board Member and former Board member of SSRA congratulating Mrs. Irene Isaka , behind her graced with a big smile is Mr. Peter Mbelwa; SSRA Chief Internal Auditor.
Mjumbe wa bodi ya NBAA na Mkurugenzi wa zamani wa bodi ya SSRA bwana Juma Muhimbi akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi.Irene Isaka mara baada ya kupokea tuzo ya NBAA, nyuma yake Mkaguzi wa ndani wa SSRA Bwana. Peter Mbelwa.
Ms. Lightness Mauki- SSRA Director of Compliance and Registration listening to presentations made by NBAA Executive Director Mr. Pius Maneno not in picture during NBAA award held in Arusha, others are Sumatra employees.
Mkurugenzi wa Uandikishaji na matekelezo Bi. Lightness Mauki akisikiliza maelezo yanayotolewa na Mkurugenzi mkuu wa NBAA bwana Pius Maneno ( hayupo pichani) wakati wa halfa ya utoaji tuzo ya NBAA hivi karibuni mkoani Arusha.
A group picture of all first winners of best presented Financial Statements under different categories.
Picha ya pamoja ya washindi wote wa kwanza wa tuzo ya NBAA.
Director of Finance, Planning and Administration; Mr.Mohamed Nyasama and Ms. Sarah Kibonde Msika; Head of Public Relations and Promotions pausing with Mrs. Irene Isaka soon after receiving NBAA award at Naura Spring in Arusha
Mkurugenzi wa Fedha Utawala na Mipango Bwana. Mohamed Nyasama na Bi. Sarah Kibonde Msika Mkuu wa mawasiliano na uhamasishaji wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi. Irene Isaka na mara baada ya kupokea tuzo ya NBAA katika hotel ya Naura Spring –jijini Arusha.
A group photo of SSRA members of Staff soon after receiving NBAA Award of the 1st Winner of best presented accounts under the category of IPSAS. With a white shirt is Mr. Athumani Juma; SSRA Accountant.
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa SSRA mara baada ya kupokea tuzo ya NBAA wakiwa wshindi wa kwanza katika uwasilishaji wa mahesabu safi kwa kutumia mfumo wa IPSAS, wa pili kutoka kushoto ni bwana Athumani Juma – Mhasibu wa SSRA.
Mrs Irene Isaka informing the media about the award during NBAA award ceremony held at Naura Spring Hotel in Arusha
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Bi Irene Isaka akiongea na waandishi wa habari kuhusu tuzo ambayo ya NBAA ambayo SSRA wameipata wakiwa washindi wa kwanza .