Waziri wa Utalii Mh. Kagasheki. HABARI NILIYOIPATA SASA HIVI KUTOKA DODOMA NI KWAMBA MAWAZIRI WANAOTUHUMIWA KUWA MZIGO WAMEAMBIWA RASMI NA KIKAO CHA WABUNGE WA CCM KWAMBA WAJIUZULU MARA MOJA KUMNUSURU WAZIRI MKUU!! WAZIRI MKUU NA MAWAZIRI HAO HAWAPO BUNGENI SASA HIVI, HABARI ZAIDI BAADAYE!!