Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki, amejiuzulu bungeni hivi punde baada ya kutakiwa na wabunge awajibike kwa vitendo viovu vilivyofanywa na wanausalama wakati wa Operesheni Tokomeza!Waziri Mkuu Pinda
Waziri wa Utalii Mh. Kagasheki.
Waziri wa Mifugo David Mathayo.