Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LE MUTUZ LAST NIGHT MEETING MTOTO KING KIKI LIVE THE VICTIM OF UGLY ONLINE ATTACKS FROM HER EX-HUSBAND!!

$
0
0


Wiki chache zilizopita Mitandao mingi ya kijamii bongo ilibeba habari mbaya ya ajabu ya huyu msichana mtoto wa my very Super Friend King Kiki kwa jina Jessica Kikumbi, ambaye ilidaiwa kwamba amerusha picha zake za utupu kwenye mitandao na kuepeleka Mume wake kumuacha. Ukweli niliouthibitisha sasa baada ya kuongea naye kwenye sim na kufuatilia hii habari kwa kina Super blog imegundua kwamba zilikuwa ni habari za kutengenezwa na mumewe ambaye alikuwa bado hajakubali ukweli kwamba Jessica hamtaki tena na ameamua kumtaliki kwamba hamtaki tena kwa hasira hizo za kuachwa Mume akaamua kumchafua kwa kuzuia Simu yake ambayo ilikuwa na picha hizo za aibu. Super Blog tunasema hivi kila binadam ana rights to his /her privacy kufanya anayoyataka bila kuingiliwa na mtu ingawa we will always question the wisdom of taking those ugly pictures of yourself hata kama ni kwenye simu yako cause the experience ipo wazi sana kwamba 90% ya this kind of stories ni picha zimeishia kuvuja kwenye mitandao. Alichokifanya Mume hapa sio sawa kabisa and I hope siku moja Tanzania tutakuwa na Sheria za kuwabana watu wote aina yake. Kumuua binadam mwingine sio lazima umpige kwa risasi, hata kumchafua jina lake au character assasination sio sawa kabisa ni dhambi ya ajabu sana. Also, wabongo tufike mahali tujifunze kuachana kwenye mapenzi kwa amani ni mapenzi gani hayo ya kuachana kwa matusi na vitu vya kijinga kama hivi? Shame on wale wote mnaofanaya ujinga kama huu ukiachwa haina maana ni mwisho wa Dunia ila maana yake ni kwamba Mungu amefunga mlango mmoja sasa anataka kukufungulia mwingine ambao hawezi kuufungua mpaka umuonyeshe kwamba umekubali uamuzi wake wa kuufunga mlango wa kwanza bila kinyongo. Binadam unawezaje kumruhusu binadam mwingine akakukosesha usingizi kisa na mkasa eti amekuacha? Please people hakuna binadam mwenye hiyo thamani kwamba eti akikuacha basi your life will stop or that your life should stop no way ni kujidhalilisha na kujishusha hadhi kabisa an imperfect creature of God kama wewe akutese mpaka ufikie kutoa picha zake kwa hasira kwenye mitandao? Ok inaweza kukusaidia nini hasa? Lets say akiamua kukurudia inakuwa aibu ya nani hasa? Mtu aliyekuwa mumeo na kama in this case mna mtoto mmoja tayari unapoenda kumtukanisha kwenye mitandao ya kijamii unafikiri nini unaweza ku-accomplish? People wacheni haya mambo ni ya kizamani sana sasa kwa mfano sio siri kwamba hapa bongo mabebe wa ukwheeeeh ni wengi kuliko mamen, sasa why bother? Mbebe mmoja hakutaki sure let it go! tafuta mwingine super kuliko yule wa kwanza yes I said it! muwache tafuta mbebe super kuliko yule wa kwanza kama ana miaka 30 tafuta mwenye miaka 20, kama ni mweusi tafuta mweupe kama ni mfupi tafuta mrefu kuliko yule u know! just jino kwa jino hakuna njia nyingine, I wish Jessica good na Mungu akusaidie sana mtuwangu cause your dad is one of my hero!! love u more bby! - Le Mutuz


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles