Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LIVE FROM SINTAH JLO WA BONGO BLOG & UGLY NASTY COMMENTS UNFILTERED!!

$
0
0

KAKA APATA JIKO LA UMEME

Lemutuz

wakuachee tu

matajiri waliopanga
kuitikisa Dar ktk
harusi ya super William Malecela

Kwanza tupambe na tusherehekee, harusi ya Willy inakuja na mambo ndio hayooo matajiri wasema no mchango hapo ndipo nilipofurahi mimi hivi haya mambo ya michango mnajua yanaboa sana utajikuta mtu mmoja una kadi 20 si mfanye mambo simple tu, 

mnatutesea nini sie, kibaya pale usipo pokea simu zao khaaa, majanga, anyway kwa William yeye hatotupa shida hiyo sisi tutakwenda pale kunywaa, kula mpaka tinyeee bure kabisa of course kwa waalikwa tu.... sio kila mtu, so tusubiri matajiri wa mji wamejipanga vipi.....

bibi harusi usisahau kuja ku shop na sintah's wedding lounge ili utoke chicha.... hakuna tabu kaka atalipa na matajiri wa muji wapo

willy kaa na waridi na weye unukie achana na watu wanaochonga unajigonga mara vile, good enough weye sio mswahili wa kusikiliza wolokoso so keep it up n have only rich friends ukiwa na hawa kama mie utaambulia majungu.com 

wengi wanatafuta chance kama yako hawapati,,, kaa na waridi n cant wait for u wedding coz im gonna chop my Tshs 


  1. Hongera zake Lemutuz, Sintalicious mbona unatupa umbea nusu nusu nakufa na umbea kutaka kumjua mtarajiwa ni nani?
    Reply
    Replies
    1. tena kamaliza masters sasa na ulivyo mmbea mbona hapo ulipo unawashwaaaaaaa, kamaliza ESAMI - ARUSHA chuo cha mijidolaaaaa upo mama nenda kwa jestina utamuona , ili kihoro kikuishe yani harusi itakuwa balaaaaaaaaaa
    2. kitulize we msukule....umjue ili uanze kumchambua kuanzia unywele
      hadi unyayo!!!!!!!!!!!
    3. Ili iweje ukishamjua
    4. aisee sintah wewe ni mswahili sana dah , yani vitu unavyoandika vinakushusha class
    5. Ingia kwa lemutuz mwenyewe kamuweka
  2. SIONGEI MIE.................NAMTAKIA KILA LA HERI
    NINACHOWAZA LEO NI HAOOO WATOKA KUZIMU WATAKAVYOKUNYA NA KUHARISHA HUMU
    HONGERA ZAKE WILLIUM ILA NASIKIA NAE YUPO KWENYE KUU KUUMIZANA NA EX WIFE KWA NAMNA WALIVYOACHANA
    ILA AMEJITAHIDI KAPATA JEMBE AFU MTOTO WA MBICHI .................HUYO MADAM HUKO ANAPUMUA JAMANII MAANA ANAYOYAFANYAGA JAMII FORUM KUHUSU MWENZIE LOOHHH.................
    TUSUBIRI
    Reply
    Replies
    1. sidhani kama kuna siku ntakuja elewa uandishi wako
  3. Sasa hapo c kuchangia tu kwani anatoka zake ? Au unataka kusema anaundugu na hawa wa waarabu
    Reply
  4. Pole sintah umeachwa kwenye mataa jamaa anaoa!!ndio maana ulichoropoa mimba yake nini!!!
    Reply
  5. tunasubiri kwa hamu
    Reply
  6. yamewashukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.mliokuwa mnaongea msilolijua
    Reply
  7. Nenda kwenye blog ya lemutuz kajaa tele umbea kipaji
    Reply
  8. mpenda vya bure meno yote nje
    Reply
  9. kakufiligisa we sasa anaoa maskini sinta imekula kwako my dear vumilia nawe utapata wako najua roho inakuuma ila ndo hivyo big up lemutuz
    Reply
  10. Duh hili jimtu c lipo gym ssiv??mbona linazid kuwa pana km kabat la kichina la milango mitatu.uwiii huyo mkewe nataman nimuonee khaaa kibamia kakikubal had kuolewaa!!bwahahahahaaa willy yulo kn umaga mcheza mieleka.
    Reply
    Replies
    1. we umejuaje kama ana kibamia?alikuacha na ww sio?nani aoe janamke lenye gundu na roho mby km ww????kaoge
  11. hahaaaaa aoe tu maana kaitembeza sana dudu yake hiyo........

    akatulie kwenye ndoa sio kufanya sherehe kubwa baada ya siku mbili
    kitu chali ka wakina fulan
    Reply
  12. kadi za harusi zinachosha na mtu usipomchangia basi mnakuwa
    maadui...wengine kudai ka ni DENI vile inahuuuuuuuu
    Reply
  13. sinta we waolewa LINI!!!!!!!!niaka inazidi kwenda tu
    Reply
  14. Mmmmh hiyo no balaa mama misifa
    Reply
  15. hehehe, nashukuru sana lemutuz kapata mchumba hongera baba, labda utakua sasa, maana anakueka kwa blog then anakutingoza, ukinkataa tu kosa anatafuta sababu akutukane kwenye blog, badilkika bro jitizame na wanawake unaowatongozaaa basi. Haya baba harusi njema this tym umepata mnaoendana
    Reply
    Replies
    1. halina akili kabisa hili libaba jiiiingaaaaa linalala na kila mwanamke kuish kote marekani ulimbukeni haujamtoka mfyuuuuu
  16. Hana wazaziiiiii huyu mpaka afanyiwe kwa hisani ya matajiriiiiii? Au ile kujikomba kumelipa? Hihihii kazi na dawa. Hongera sana
    Reply
  17. Hakuna cha harusi wala nini, tuko hapa hapa. Mchumba kashituka mwanaume ana gubu. Ukikosea nyumbani unatukanwa blog kama alivyofanya kwa mama watoto wake, willy change kaka
    Reply
  18. hahaaaaaaa hapojuu kawahi kokolikooo kashapost kwa boss wake
    Reply
  19. hapo umenena Msukule wa Sintah...shurti atutajie mtarajiwaaa,na haters watafunga midomo oooh le mutuz anatoka na sintaaa....kimyaaaa sasa...kaka kapata jiko
    Reply
  20. Kazana n gym lemutuz uje upendeze na suit maaana wewe kuvaa ni big sifuriiii. Na siku unaoa utavaaa suit na viatu? Maana wewe sijakuona na proper boot au mokasi ukonna misandals hata sehemu hazitakiwi uvae, sijui unafunza miguuni hehehe. Sada sweden
    Reply
  21. Kwani uongo Sinta hajatembea na Lemutuz? na wewe Sinta, sasa kitulize hebu olewa tumekuchoka, kutwa unachapwa nao wanaenda kuoa mbele ya safari, kaoge maji ya bahari unagundu shoga, utazeeka kwa kuchekea vibania vya waume wa wenzio, we unasuguliwa na jua kali unatoka mijasho, wenzio taratibu wanakeshea kwa raha zao na pete vidoleni. Wezi wa waume za watu mpoooooooo? mnaishiwa kuchezewa tu na kupoteza uthamani wenu, Malaya wachafu msio na bahati nyie, muulizenu mwenzenu shamim awapeleke kwa mganga wake na nyie mkaolewe, team vibibi zisivyo na ndoa mujini.
    Reply
  22. Bwahahabwahaaaa which shillings sintah unazo mpaka uchop kwenye harusi ya huyo william'? Ungejifunza kuvaa kwanza, kwako william all the best, hope mipasho ya tarab unayoandika blog utaacha sasa unaoa na have same classy na hao matajiri wanaokueka mjini
    Reply
  23. HUWA SIKUFAGILIAGI KIIVYO,,BUT UMENIKUNA KUUSU MICHANGO YA HARUSI.....HVI WAPENDWA KUNA ULAZIMA GANI WA KUFANYA SHEREHE?????????????????????????????IMEANDIKWA WAP????????????WENGINE MPAKA BP WANAPATA KISA KUFATILIA MICHANGO BUDGET HAITALI.....JAMANI C LAZIMA UWEKE WATU MIA 2,AU 3 UKUMBINI U CAN HAV FUN NA UR FELLOWS BASI SIKU INAPITA CHA MSINGI NI BARAKA YA NDOA..MWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE..BUT KAMA ELA IPO WE ALIKA TU WATU UTAKAO KWA ELA YAKO YA MFUKONI.....#TEAMNOMBWEMBWE#
    Reply
  24. ANKOR WA MAMA MZUNGU ANAWOWA !!!!!!!!!!!
    Reply
  25. huyu jamaa huwa ni mshamba sana sijui hata nimfananishe na mtu gani
    Reply
  26. Haya yale manyambizi kina rozipumb umbea kwishaaaa... Mlikua mnasema sinta anatoka na le mutu. Hata ww na wazandiki wenzio kakumbatieni mstimu
    Reply

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>