"Ahsante mungu kwa kuniweka kwenye mikono yako.... leo ni siku kubwa sana kwa mimi na mke wangu Joyce kwakuweza kufunga ndoa.... katika Kanisa la Hananasif Kinondoni Dar es salaam.... Ahsanteni kwa wote mliyoweza kuja kanisani mungu awabariki sana."
Like· · Share· 53 minutes ago·