Hatimaye baada ya ukimya mrefu kuhusu urafiki wao, leo hii Snura ameamua kufunguka, na kukumbuka fadhila na ukarimu wa Wema kwake kipindi cha nyuma na hasa alipotoka mara ya kwanza kabisa kimuziki. Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwimbaji huyo wa NIMEVURUGWA ame andika kifuatacho: