Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

ILE BLOG INAYOKOSOA MOVIE..SASA YAONESHA MAKOSA YA MOVIE ILIO CHEZWA NA MASTAA ZAIDI YA 3 BONGO... NAFURAHI NIKIINGIA HUMU ......

$
0
0
 SAWA TUMEKUBALI HAUNA MVI NA SCENE INAHITAJI UWE NA MVI KWAIO UKAITAJIKA UPAKE KITU ... SASA JE KULIKUA NA UMUHIMU GANI WA WEWE CAMERA MAN KUZOOM MPAKA TUONE KWAMBA UMEPAKA KITU.....

 HII NI PALE MSICHANA HUYU ALIPOKUA AKILIA CHUMBANI KWAKE BAADA YA KAKA YAKEKUMPIGA NA KUMUUMIZA MPENZI WAKE.... PICHA YA KUSHOTO MSICHANA HUYO ALIKUA ANALIA SIMU IKAITA KWAIO NDO ANAPOKEA SIMU HAPO UKIANGALIA NYWELE ZAKE KWA UMAKINI SANA ...BAADA TU YAKUANZA KUONGEA IO SCENE ILIOFATA UTAONA NYWELE ZAKE ZIMECHANWA VIZURI NA ZINA UTOFAUTI NA SCENE YA NYUMA YAKE... JE NANI KAMCHANA NA NI MUDA GANI...???


HII NI SCENE AMBAYO FAMILIA YA KIJANA ALIEPIGWA ILIKUA IMEJIFICHA KWENYE MABATI NA MAJAMBAZI HAWA WALIKUA KUWATAFUTA KWENYE NYUMBA YA FAMILIA IO...WAKATI WANAENDELEA NA MSAKO UKIANGALIA KWENYE KIOO CHA NYUMBA IO UTAMUONAA MOJA YA WATU WANAO SIMAMA NYUMA YA CAMERA...


MOVIE NAME- WELL DONE MY SON
FILM BY- KHALFAN AHMAD
MAIN CHARACTERS- JACOB STEVEN (JB), MRISHO ZIMBWE, SABRINA OMARY, FATKHIA CHIJUMBA, ISSA MUHUNGA, KHALFAN AHMED, 
CAMERA- ABUU KANESA
DIRECTOR- KHALFAN AHMED

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>