Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

NA HILI NDILO BOMU LA KUTUPA KWA MKONO LILILOLETA KIZAA ZAA JANA BONGO LIVE!!

$
0
0

Bomu lililosababisha wasiwasi na kuvuta umati wa wakazi wa Dar es Salaam kuliona likiwa limefukiwa sehemu chini ya ardhi katika eneo la Shekilango jirani ya majengo ya Shirika la Nyumba za Taifa (NHC).
Baadhi ya raia wakikusanyika kushangaa Bomu la kutupa kwa mkono lililokutwa eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam, jana mchana na kuzua taflani kubwa.
Bomu hilo likiwa limefukiwa katika eneo hilo.....
Askari wa kutuliza ghasia wakijaribu kulitegua bomu hilo ili kuweza kuliondosha eneo hilo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>