Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE MAJANGAZ:- HUYU NDIYE MWANAMAMA MTANGAZAJI ALIYEAHIDI KUVUA NGUO IWAPO TIMU YAKE YA TAIFA ITASHINDA!!

$
0
0
Mwanadada Doria Tillier ametekeleza ahadi yake ya kutangaza taarifa ya habari ya hali ya hewa kwenye kituo kimoja cha Televisheni akiwa uchi.


Mwanadada huyo alitoa ahadi kama Ufaransa itafanikiwa kurudisha mabao 2 waliyokuwa wamefungwa na Ukraine kwenye mchezo wa kwanza wa kufuzu
fainali za kombe la Dunia basi angetangaza taarifa ya habari akiwa kwenye hali ya utupu.


Kwenye mchezo wa marudiano Ufaransa ilifanikiwa kuitandika Ukraine mabao 3-0 na kufanikiwa kukata tiketi ya kwenda Brazil mwakani 




Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles