"Nipende kumpongeza mume wangu mpendwa Mr Phares Magesa Kwa kuteuliwa Leo hii, kuwa Mkurugenzi wa TEHAMA(Director of ICT) ktk Mamlaka ya Bandari(TPA).To God be the glory and honor,ninakuombea Utendaji kazi uliotukuka kwa faida ya shirika na Tanzania kwa ujumla.Mungu akupe hekima na maarifa ya utendaji kazi wenye bidii na ufanisi mkubwa ukiweka masilahi ya Taifa mbele,ili Bandari yetu iweze kuwa bandari bora,yenye ufanisi na ushindani ktk ukanda huu wa EA na Africa kwa ujumla!God bless u always!!"
"Namshukuru Mungu kwa ushirikiano wa wadau wote, dua na sala zenu Bodi ya wakurugenzi ya TPA imenithibitisha katika nafasi ya Mkurugenzi wa Teknolojia ya habari na mawasiliano wa TPA baada ya kuridhika na utendaji wangu naomba tuendelee kushirikiana ili tuinue uchumi wa nchi yetu , nitaendelea kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kutumia vizuri taaluma yangu kwa faida ya Taifa letu, Thank U all."