Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

DARASA LA NAMNA YA KUILINDA SIMU YAKO IKIPOTEA NA PICHA ZAKO ZA AIBU TOKA KWA MY SUPER SISTER MBEBE MKAREEZ KULIKO WOTE LONDON/UK!!

$
0
0


"Jamani leo naomba kuongelea privacy katika simu zetu najua watu wengi wenye simu especially zile zenye camera na smart phones tunapicha nyingi sana humo ndani na picha zingine ni just for your own privacy.
Cha ajabu siku hizi picha nyingi za watu aimekuwa zikileak na mara nyingi nadhani ni kwa bahati mbaya especially simu ikiangukia mikono ambayo siyo. Sasa mimi natumia iphone napenda tu kushare na nyie kuhusu hii app inayoitwa 'MY DISK' please download it (iPhone users) na huko unaweza save vitu vyako vyote ambavyo ni private and personal na hata simu yako ikipotea sirahisi mtu aingie huko unless anapassword yako. Kama kuna app nyingine nzuri yenye manufaa kwa smart phones zingine naomba pia tujulishane."


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>