Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MSIBA MZITO MBONGO AFARIKI ITALY!!

$
0
0


Marehemu  ALLY KIJUU JUMA 
TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTANZANIA ALLY KIJUU JUMA KILICHOTOKEA ROME ITALY, MIPANGO NA TARATIBU ZA MAZISHI ZINAFANYWA. JUMUIYA WATANZANIA INAPENDA KUWATANGAZIA WAKAZI WOTE WA NAPOLI NA VITONGOJI VYAKE KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO SIKU YA JUMATATU TAREHE 6/01/2014 KWA WAGHANA MJINI NAPOLI. TUNAOMBA VIONGOZI WOTE WA JUMUIYA Z A WATANZANIA KUPANGA HARAKA UTARATIBU WA MKUTANO ILI KUHARAKISHA TARATIBU HIZI.  MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA..AMEEN!!!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>