BreakingNEWS: Sababu Kesi ya Zitto Kuahirishwa mpaka Kesho Hii Hapa
Dar es Salaam, Tanzania. Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam imeahirisha kutoan uamuzi HIVI PUNDE na sasa hukumu hiyo itatolewa kesho, saa 8:00 mchana.
Kwa mujibu wa taarifa za mahakama, kesi hiyo imeahirishwa mpaka kesho mchana kwa sababu hakimu anayesikiliza kesi hiyo hajamaliza kuandika hukumu ya kesi hiyo.