$ 0 0 Godbless Lema"Zitto Kabwe alimtoa mgombea wetu mpanda ili rafiki yake Pinda apite bila kupingwa Zitto Kabwe amepewa magari mawili na Nimrod Mkono kwa kuwa alimsaidia kupita bila kupingwa Jana tumechukua kadi ya Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba, kwa bahati mbaya kadi ya ZITTO KABWE ipo kwa Jaji, lakini ikija tutaichukua Hatuwezi kuishi na msaliti kama Zitto, bora abaki kuwa mbunge wa mahakama kuliko mbunge wa CHADEMA"at Namanga - Msasani