Mwanamke mmoja akiwa na hati ya kusafiria
AB548424 aliefahamika kwa jina la Salama Omary Mzala (30) mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salam, aliekamatwa akiwa amemeza pipi 67 za dawa aina ya heroine.
Vyombo vya usalama Kumtilia shaka na kuweza
kufuatilia hadi katika ndege aliotakiwa kupanda ya
Ethpoia Airline tayari kwa kuelekea Maccau Nchni China na kumuweka katika ulinzi ambapo kwa mujibu wa taaarifa toka kwa kamanda wa kikosi cha kuzuia na kupamabana na dawa za kulevya nchini
Godfrey Nzowa hadi kufikia saa 7.30 mchana
,Mzala alikuwa ametoa pipi 28 kwa njia ya haja
kubwa ambapo naendelea kutoa kadri muda
unavyozidi kwenda .