Blog hii pendwa nchini na nje ya nchi imenasa picha za fumanizi zinazomuhusu mtoto wa mwanasiasa mmoja maarufuy nchini "Jina Linahifadhiwa" ambae pia ni mbunge wa jimbo moja lililopo kwenye mikoa ya katikati ya nchi yetu.
Mtoto huyo ambae nae jina linaminywa alikutwa na tukio hilo la kufedhehesha hivi karibu Mkoani Arusha kwenye nyumba moja ya kulala wageni ijulikanayo kama 4 WAYS iliyopo maneo ya Arusha mjini.Habari zaidi juu ya tukio hilo zinasema mvulana huyo ambae alikuwa kwenye semina za kisiasa zinazoendelea mkoani humo na
huyo mke wa mtu nae alikuwa ni mmoja wa wanasemina huku mumewe akimuacha Dar kwa, lakini hata hivyo wakati mke huyo akiamini kuwa husband wake amemuacha Dar kumbe jama...