Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BREAKIN NEWZZZ:- ZITTO AWAPIGA MUELEKA CHADEMA LIVE SASA MAHAKAMA KUU!!

$
0
0
Zitto awapiga bao tena Chadema,  live mahakamani sasa hivi stay tuned for more info!!
BREAKING NEWS

"Mahakama kuu ya Tanzania imetengua maamuzi ya Chadma ya kumvua madaraka Zitto Kabwe.
Judge amesisitiza sana umuhimu wa demokrasia na kuvumiliana inapotokea tofauti ya mawazo. Amesema, kila mtanzania anastahili kusikilizwa na kupewa nafasi ya kuamua atakalo bila kuvunja katiba ya nchi. Kwa hiyo haoni iweje hawa Chadema, tena watatu watatu tu, mwenyekiti, katibu na mnadhimu mkuu wa chama ndiyo wawe miungu watu kwa kunyanyasa watao maoni chanya kuhusu mustakabari wa nchi kidemokrasia."
 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>