Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

NA HII NDIO GHARAMA YA UTENGENEZAJI WA REMIX YA "Number One" ILIYOLIPWA NA SUPER STAR DIAMOND PLATZNUM MWENYEWE LIVE!!

$
0
0



Naseeb Abdul “Diamond” ameweka kuhusu gharama za video yake ya Number One Remix aliyofanya na director Clarence Peters wa Nigieria.

Diamond anasema gharama hii hazijumuishi usafiri wala accommodation walivyokua huko Nigeria.

Diamond amelipa dola 25,000 sawa na Tsh millioni 40 za kitanzania kufanya production ya hii video ambapo ilijumuisha gharama za kila kitu hadi models na dancers.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>