Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE MAJANGAZ:- CHECK HUYU MAMEN ALIYE-CHANGE FROM MAMEN TO MBEBE MKAREEEEEZZ!!

$
0
0

Huyu ni modo na mwanamuziki toka nchini Nigeria ambaye pia ni Miss saHHara, alizaliwa akiwa mwanaume kamili.


Jana kupitia makala moja ikiwa ni katika maadhimisho yao alielezea kwa vile alivyonyanyasika kwa kufungwa na hata kufikia hatua ya kutishiwa kuuwa ila kwa sasa anafurahi kwa kujiona yupo huru.

Dunia yetu ndio hii...!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles