Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BREAKIN NEWZZZ:- WALICHOITIWA WAANDISHI WA HABARI IKULU JIONI HII SABABU HII HAPA LIVE!!

$
0
0
Waandishi wa habari waliitwa Ikulu leo jioni hii kwa ajili ya Dinner maaalum ya Rais na Dplomatic Corps. waliopo hapa mujini Bongo, kwa hiyo Cabinet ni mpaka next week Rais akirudi toka Zanzibar na Baada ya Sikukuu ya Maulid Jumatatu most likely ni Jumatano na wanaapishwa Jumamosi live viwanja vya Ikulu!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakisikiliza hotuba toka kwa Balozi wa DRC nchini Mhe Asumani Mpango ambaye pia ndiye Kiongozi wa Mabalozi nchini akihutubia wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya(Sherry Party) Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wanawake wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja Mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya (Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014. PICHA NA IKULU

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>