Hatimaye watoto wa Boby Brown na hayati Whitney Houston wameoana rasmi na kupewa baraka zote na bibi yao Cissy Houston. Kristina ni binti wa hayati Whitney Huston na Nick ni mtoto wa Boby Brown, ambao mara baada ya kifo cha mama yao, waliingia katika uhusiano wa kimapenzi kitu kilichowashangaza watu wengi, lakini hivi karibuni kupitia mtandao wa Twitter, Kristina alitangaza kuwa sasa wameshafunga ndoa na ni mume na mke na kwamba hata marehemu mamake alikuwa anataka iwe hivyo, yaani mtu na dadake wa kambo waoane!
...Kristina na Nick.......kila function wamekuwa wakienda pamoja
...mtu na kakayake wakiwa katika pozi mwaka 2012
akionesha pete ya uchumba kwenye Twitter
Bibi wa Kristina: Cissy Houston alitoa baraka zote za ndoa yao.......