@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- OK PEOPLE NAOMBA KUSEMA HIVI THIS IS MY FB WALL NIMEKABIDHIWA NA FACEBOOK KUWEKA PICHA, KUANDIKA NINACHOTAKA BILA KUVUNJA SHERIA ZA FB,
NINACHOWEKA HAPA NI MAISHA YANGU YA KILA SIKU SASA KAMA YANAKUKERA SANA JIONDOE KWENYE MARAFIKI ZANGU WA FB, MIMI SIJAWAHI NEVER NASEMA KWENDA KWENYE FB WALL YA ANYBODY NA KUANZA KUMFUNDISHA HOW TO LIVE THEIR LIVES, SO USIJE KWENYE MY WALL KUNIFUNDISHA HOW I SHOULD LIVE MY LIFE SIHITAJI USHAURI WAKO NA KAMA NIKIUHITAJI NITAKUOMBA LAKINI PLEASE USINIPE USHAURI AMBAO SIJAKUOMBA KWA SABABY HUJUI NINAFIKIRI NINI NA SIO LAZIMA NIKUAMBIE!!
- JIFUNZE KUISHI MAISHA YAKO WACHANA NA YA WENGINE CAUSE HAWAKUHUSU WALA HAIWEZI KUKUSAIDIA KILA MTU NA MAISHA YAKE HALAFU USIJIDANGANYE KWAMBA UKWELI WAKO NDIO UKWELI WA KILA MTU AU DUNIA NZIMA AU UKAAMINI KWAMBA MAISHA YAKO YA KIZEE NA KUKAA HOME TU NDIO MAISHA BORA UKAANZA KULAZIMISHA NA WENGINE HUKU FACEBOOK WAYAFUATE HUO NI U-SUPER MBURULAZZZ LIVE, USILAZIMISHE WOTE TUWE NA MAISHA YA KIZEE KAMA YAKO CAUSE IT DOES NOT WORK KWA KILA MTU, BUSARA NI PAMOJA NA KUELEWA KWAMBA MAISHA YA WENGINE HAYAKUHUSU UNLESS UPO KWENYE MEDIA BASI ANDIKA KWENYE MEDIA OUTLET ZAKO SIO KUINGIA KWENYE FACEBOOK WALLS ZA WATU USIOWAJUA NA WASIOKUHUSU NA KUANZA KUWAFUNDISHA NAMNA YA KUISHI KIZEE ZEEE KAMA WEWE PLEASE WACHA HIZO THIS IS A FREE WORLD KILA MTU ANA HAKI YA KUISHI AS THEY WANT MRADI HAVUNJI SHERIA ZA JAMHURI, KAMA ANAVUNJA SHERIA ZA MUNGU BADO NI NONEOF YOUR BUSINESS OKEEEE!!, LEO NI ESCAPE ONE BEACH CLUB SO SEE YAH THERE!!- LE MUTUZ