Dar es Salaam.Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi inakutana leo kwa ajili ya
kupitisha jina la mgombea wa chama hicho kwa nafasi ya uwakilishi wa Jimbo la Kiembe samaki.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye aliiambia Mwananchi jana kuwa suala hilo ndiyo
ajenda pekee ya kikao hicho kitakachofanyika chini ya Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete.
Nnauye alisema kuwa Kamati Kuu itapitisha jina la mgombea huyo kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa jimbo
hilo kuziba naf
NEC ilimvua Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Mansour Yussuf Himid
kutokana na kukiuka miko ya chama hicho.
Mansour alifukuzwa uanachama kutokana na kukiuka mambo matatu ambayo yaliifanya CCM kushindwa
kumvumilia.
↧
KAMATI KUU YA CCM KUKUTANA LEO LIVE!!
↧