Kamati Kuu ikikutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri DR. JK, the Dataz imezungumzia mambo mawili makubwa Kumpitisha Mgombea kiti cha aliyefukuzwa chama huko Zanzibar na Serikali mbili kwenye katiba mpya, maneno ambayo yalielekea kumpa ujumbe mjumbe wa Tume ya Rasimu ya Katiba aliyekuwemo kwenye kikao hicho cha siku moja tu lao na ambacho kimeisha muda mchache uliopita. Wajumbe wengi wa kikao hicho walisema wanachotaka ni Serikali mbili sio kingine chochote ukiwa ni ujumbe mzito sana kwa Mheshimiwa Salim.