Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MBUNGE HUYU WA CHADEMA NAYE AJITUPA BIFU LA ZITTO NA MBOWE!! & UGLY UNFILTERED COMMENTS!!

$
0
0





 


  • Musalika Masatu·
    kama ni kimombo andika kimombo mwanzo mwisho siyo kuchanganya mara SNITCHES mara nipo nje ya nchi haina msaada!

    • Alfred J Bilagi
      Kwani anatatizo gani hata wewe mwenyewe huwa unaandika na kuonge Kiswanglish mara kwamara

  • Mbegu Jr Alonso·
    Hivi Sugu ukiambiwa wanasiasa watoke mbele utathubutu kusogea? ww uliokota ubunge wa Mbeya kama vile kuokota Embe Dodo kwenye mti wa Mfenesi, huwezi kukurupuka na kumsema Zitto na kumwita eti SNITCHES, huyu jamaa anajua anafanya nini sio kama ww ambaye hupimi vitu vya kuzungumza na unakurupuka kama ilivyokuwa kawaida yako...

    • Happy George Mboma·
      Tena huyu sugu ndo bonge la snitch huku kwetu mbeya, sasa hivi hata huku jimboni kwako hatukutaki. thanx mbegu.

    • Alvin Leon·
      Happy George Mboma hujui tu unaongea nini! sugu ni rais wa Mbeya

  • Getrude Gerald·
    viongozi wote walio na msimao lazima wapitie ktk wakati mgumu..... mandela alifungwa miaka 20 na hukukata tamaa tunakuombea sn zitto

    • Tedy Chuwa
      chadema wako xawa na maamuz yao coz mtu akishajua anaweza shobo haziishi hakuna kukumbatia uovu akileta shobo out! co kama ccm wanakumbatia mafisad mpaka chama kimekufa

    • Sarah Ruyembe· 
      Tedy Chuwa !

  • Ndipo Elia· 
    jamani samahani,hivi utawala wa hawa kina mbowe ni hadi lini!!??toka enzi ya kina makani na mtei sijaona viongozi wa juu wengine,au ndo kama mugabe!!

  • Dallas Dullah·
    we mbegu ndo kama anajua akakae na masnit wenzie pamoja na wewe

    • Mbegu Jr Alonso·
      msomi lakini upeo wako ni mdogo hata kuandika kitu kikaeloeweka unashindwa Dallas Dullah tetea kwa hoja sio ili mradi unaandika tu.

  • Elnest Shilla· 
    tunangojea yakeeeeeeeeeeee

  • Masudi Kuseka·
    miaka yako hii 5 tu

  • Musa Mwenye Hekima·
    Sijakuelewa muheshmiwa kama wewe sugu unaandika kiingereza kibovu kama hicho duh!

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>