Msukuma amtunishia Misuli Bw.Msindai,asema hatamuomba msamaha
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita amesema hatomwomba radhi mh. Msindai na ametaka aache kuvuruga chama kwa kutofuata utaratibu wa chama ktk kuamua mambo yake hatakama yeye ni wa siku nyingi ktk chama.
Source: ITV