Super Star Singer Afande Sele, akizungumza kwenye semina hiyo ya wasanii iliyotayarishwa na Chief Promotions na kudhaminiwa na Shirika la Pensheni la PSPF, live leo kwenye Ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni na kuhutubiwa na Mjumbe toka TRA, pamoja na Wawakilishi wa PSPF wakiongozwa na Senior Compliance Officer Miss. Matilda Nyallu. Semina hiyo iliwakutanisha Wasanii wa Bongo Muvi wakiongozwa na Airtel Super Star Steve Nyerere na wale wa Bongo Fleva wakiongozwa na Super Star Singer Afande Sele.
Wasanii wa Bongo Muvi na Bongo Fleva wakisikiliza kwa makini maelezo ya Semina hiyo ya PSPF. |
Mjumbe wa PSPF katika Semina hiyo Miss. Matilda Nyallu, akisikiliza maoni ya Wasanii. |
Muwakilishi wa TRA akizungumza na Wasanii hao kuhusu elimu nzito ya namna ya kuwekeza uzeeni na kulinda haki zao Wasanii. |