"Nisingefika hapa nilipo fika leo Kama sio kwa malezi yako,kwa maelekezo yako, kwa upendo wako, na kudra za mwenyezi mungu. nakushukuru na nakupenda kwa moyo wangu wote na daima nitakuenzi... #mydad#baba#mshua#rohoyangu#myfriend#mybrother#mylife"
↧