"Nawashukuru Sana Watanzania Wenzangu Kwa Pongezi zenu,Nimezipokea Pongezi zote,Changamoto ni Kumjibu kila mmoja kwa nafasi yake ni Jambo Gumu kutokana na Wingi wa Meseji hapa Mtandaoni na Kwenye Simu,Tushirikiane Kulijenga Taifa Letu,Tudumishe Umoja wetu na Amani tuliyonayo ili Uchumi wa Nchi yetu Uendelee Kukua kwa manufaa yetu Sote.
Mungu Ibariki Tanzania."
Mungu Ibariki Tanzania."