Msanii mwigizaji wa filamu na haswa ile maarufu ya Isidingo, Lesego Motsepe AKA "Letti Matabane" (Pichani) amefariki dunia. Poleni sana mashabiki wa ISIDINGO, tamthiliya iliyozoeleka na kupendwa sana Tanzania kupitia ITV. Mtamkumbuka Letti Matabane na mbwembwe zake. Mungu ailaze roho ya Lesego mahali pema peponi