Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LIVE MAPOKEZI YA KISHINDO YA MH MWIGULU NCHEMBA HII LEO WIZARA YA FEDHA

$
0
0
 
Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akipokea Zawadi ya Ua wakati akipokewa na Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha jijini Dsm hii Leo
,Tukio hili limefanyika Nje ya Wizara ya Fedha ambapo mamia ya Wafanyakazi asubuhi ya Leo Tar.22/01/2014 walijitokeza Kuwalaki Mawaziri wapya walioteuliwa na Rais Kikwete wiki iliyopita ilikujaza nafasi za Mawaziri wanne Zilizokuwa Wazi kutokana na Kujiuzulu pamoja na Kifo cha Waziri wa Fedha Marehemu Mgimwa. 

Mh:Malima ambaye ni Naibu waziri wa Fedha akipokea Zawadi ya Ua wakati wa alipofika Rasmi Ofisini hii leo kwaajili ya Kuanza Majukumu yake baada ya Kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa Naibu Waziri wa Fedha.
 
Mapokezi Yakiendelea Asubuhi ya Leo Nje ya Wizara ya Fedha.

Mapokezi Yanaendelea,Watumishi wa Wizara ya Fedha walijitokeza Kwa wingi sana kuwapokea Manaibu Waziri wapya wa Wizara hiyo.(Mh:Mwigulu Nchemba na Mh:Adam Malima) Pembeni(Kushoto) ni Mkurugenzi wizarani hapo aliyeongoza mapokezi hayo
 
Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akilakiwa na Maofisa wa Wizara ya Fedha mapema hii leo Asubuhi wakati alipofika Ofisini hapo rasmi kuanza kazi.
 Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akibadilishana Mawazo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha wakati wa hafla ya Kuwapokea Mawaziri hao Wapya hii leo zoezi lililofanyika Wizara ya Fedha na Kukamilika Jioni ya Leo. 
Picha Zote na HABARI KWANZA BLOG

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>