Zikiwa zimepita siku chache tu tangu msanii Prezoo atemwe na demu wake mtanzania aishie Marekani, inadaiwa Prezoo amepata ajali akiwa na gari yake mpyaa aliyoweka picha zake mtandaoni wiki chache zilizopita. Kama ulipitwa na story ya gari hiyo mpya ya Prezoo unaweza isoma >>>>hapa<<<
Kwa mujibu wa mdaku wetu aliyetutumia habari hizi ni kua siku za karibuni Prezoo amekua ni mtu wa mawazo sana baada ya kupigwa chini na demu wake huyo. Japo atuwezi sema moja kwa moja kua mawazo hayo ndo yamechangia yeye kupata ajali hiyo. Mdakuzi wetu huyu aliiambia Bongoclan kua katika ajali hiyo Prezoo akuumia bali gari yake hiyo ndo ilihalibika sana upande wa mbele. Unaweza kutazama picha za gari hiyo hapa chini