Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO WANNE KWA MPIGO SASA ALIPOENDA NYUMBANI LEO LIVE!!

$
0
0

 Mama wa watoto wa Nne wa tatu kutoka kushoto akiwa pamoja na wauguzi ambao wamebeba watoto wakimuaga katika Hospitali ya Meta Jijini Mbeya mapema asubuhi ya leo.
 Baadhi ya Mizigo ikiwa inapandishwa katika Gari pamoja na Watoto hao wa nne.


 
Wa kwanza kutoka kushoto ni mmiliki wa mtandao wa Indaba Africa Blog , Dany Tweve akiwa anazungumza jambo baada ya kuchangia msaada kwa ajili ya safari hivyo, hata hivyo Ilasi FM kutoka Mbozi nao wamechangia msaada katika Safari hiyo ambayo inaongozwa na Mbeya yetu Blog. wa kwa
 Mzee Richard Kamanga akiwa Amemshika mtoto huku Safari ikiendelea
 Kutoka kushoto ni Venance Matinya nae akiwa Safarini kumrejesha Mama aliyejifungua watoto wanne
 Wa kwanza kutoka kushoto ni Msimamizi Mkuu wa Mbeya yetu Blog, na Mmoja wa wakurugenzi wa Tone Multimedia Group Joseph Mwaisango akiwa ndiye kiongozi wa Msafara huo kumrudisha mama aliyejifungua watoto wanne. Picha zote na Mbeya Yetu Blog

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>