WASANII MANDIJA NA DOMOKAYA WA MKUBALI ALI KIBA NA DIAMOND PLATNUMZ
Wasanii wa muziki waliowahi kufanya vizuri na wimbo ‘Nikupe Nini’, Mandojo na Domokaya wamemtaja AliKiba na Diamond kuwa ni miongoni mwa wasanii ambao wanatamani kufanya nao kazi.Wakizungumza na On...
View ArticleRAPA WITNESS ACHORA TATOO KIUNONI KWAKE ILI ASICHEPUKE
Mwanamuziki wa muziki wa kufoka foka nchini Tanzania, Witness, a.k.a Witness kibonge Mwepesi, ameelezea sababu ya kuchora tattoo yenye jina la mpenzi wake wa sasa Ochu Sheggy katika kiuno...
View ArticleBENKI YA NMB YADHAMINI TIMU YA MASHUA KWENYE MASHINDANO YA MASHUA AFRIKA
Kwa kutambua umuhimu wa michezo kwa vijana nchini, benki ya NMB imedhamini vijana watano kutoka nchini kwa ajili ya kwenda kushiriki mashindano ya mashua ya Afrika yanayotarajiwa kufanyika Luanda,...
View ArticleMKUU WA MKOA ASITISHA UJENZI WA SEKONDARI NDANI YA SHULE MSINGI MABATINI
Majengo yaliyojengwa yatumiwe na shuleYA msingi Simike na sekondari itajengwa palipokuwa shule YA msingi simikeNi mgogoro na mvutano wa muda miaka 4 kati ya watalaam wa Jiji na madiwani Asema GN namba...
View ArticleRAIS JOHN MAGUFULI ALIVYOMPOKEA RAIS WA CONGP JOSEPH KABILA
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Joseph Kabila Kabange, amewasili hapa nchini leo October 03 2016 kwa ziara rasmi ya kiserikali ya siku tatu na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri...
View ArticleMSANII TUNDA MAN AKIMBILIA KWENYE MZIKI WA SINGELI
Msanii wa muziki anayefanya vizuri na wimbo ‘Mama Kijacho’ Tunda Man ameuzungumzia muziki wa Singeli huku akihaidi siku moja ataingia studio na kuandaa wimbo wa Singeli.Akizungumza na Bongo5 Jumapili...
View ArticleMSANII INSPEKTA HAROUN AREJEA RASMI KWA DULLY SYKES
Msanii mkongwe wa muziki, Inspekta Haroun baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Sharubu za Babu’ ulioandaliwa na Prince Dully Sykes, amerudi tena kwa producer huyo na kuandaa wimbo mpya ambao atauachia...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ ATUPA KIJEMBE HIKI CLOUDS TV
Katika kipindi cha D'wikend chat show cha clouds TV, ameulizwa " Meneja wako Sallam analalamikiwa yupo too hasrh and over protective to you. Unalizungumziaje?". Amejibu " Sallam yupo kwa ajili ya...
View ArticleRAPA BILL NASS AMALIZA TOFAUTI ZAKE NA TID(+VIDEO)
Mtoto akikinyea kiganja cha mamaye, haimaanishi kuwa mama atakikata. Atachukua maji na sabuni na kukiosha, na maisha yataendelea – mapenzi tele!Ndicho hicho ambacho TID amekifanya kwa mwanae kimuziki,...
View ArticleMSANII NUH MZIWANDA ANDIKA UJUMBEE HUU MTANDAONI KWA ALI KIBA (SOMA HAPA)
Msanii wa Bongo Fleva Nuh MziwandaKupitia Instagram ya Nuh Mziwanda ameamua kutoa utetezi wa post yake aliyoitoa kwa ajili ya kumsupport AliKiba kuhusiana na tuzo za Mtv Ema.
View ArticleSUPERSTAA DIAMOND PLATNUMZ AFUNGUKA HAYA KUHUSU UGOMVI WA MAMA YAKE NA ZARI
Diamond platnumz amesema hakuna ugomvi ndani ya familia yao kati ya mama yake, dada yake na Zari ila mashabiki ndio wanaokuza kwa kuwa wana IQ ndogo ya kutafsiri kinachopostiwa mtandaoni na watu...
View ArticleVODACOM TANZANIA KUENDELEA NA GULIO LA SIMU-JANJA KWA BEI NAFUU KUPITIA...
Kampuni ya simu za mkononi chini, Vodacom Tanzania baada ya kufanya gulio mwisho wa wiki iliyopita ambapo simu imara ziliuzwa kwa bei nafuu kuwahi kutokea. Kampuni hiyo inaendelea kuwawezesha...
View ArticleASKARI POLISI AFUKUZWA KAZI KWA KUOMBA RUSHWA ZANZIBAR ,TAZAMA VIDEO HAPA...
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani ambaye anaonekana akiomba rushwa kwenye mkanda wa video uliosambaa mitandaoni kuanzia mwishoni mwa wiki, ametimuliwa kazi na Jeshi la Polisi Zanzibar.Sajini...
View ArticleMSICHANA AJIUA BAADA YA KUMFUMANIA MPENZI WAKE AKIWA NA MPENZI MWINGINE HUKO...
MKAZI wa mtaa wa Furaha Stoo Mbinga mjini mkoani Ruvuma Digna Chikuli (22) amefariki dunia baada ya kukutwa amejinyonga na mwili wake ukiwa unaning'inia chumbani kwake, katika dari ya nyumba aliyokuwa...
View ArticleMTOA MACHO DAR AKAMATWA...MAARUFU "SCOPION" ANATUMIA KISU KUTOBOA WATU MACHO
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Mkoa wa Dar es Salaam, Simon Sirro amesema jeshi hilo limemkamata mtuhumiwa ‘Scopion’ aliyehusika katika matukio ya unyang’anyi wa kutumia silaha eneo la Buguruni...
View Article