↧
HAYA NDIO MATOKEO YA MCHEZO WA LEO SIMBA NA KAMPALA CITY HUKO ZANZIBAR FINALI ZA KOMBE LA MAPINDUZI LIVE!!
↧
TFF TAARIFA YA MSIBA WA MCHEZAJI MAARUFU WA ZAMANI NCHINI.

TFF YATOA RAMBIRAMBI MSIBA WA MCHEZAJI BONIFACE NJOHOLE
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mchezaji wa zamani wa timu ya Reli Morogoro, Boniface Njohole kilichotokea jana (Januari 12 mwaka huu) mkoani Morogoro.
Njohole ambaye alikuwa mjumbe wa Kamati ya Ufundi na Mashindano ya Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Morogoro (MRFA) hadi umauti unamkuta anatarajia kuzikwa kesho (Januari 14 mwaka huu) kijijini kwao Mngeta wilayani Ifakara.
Msiba huu ni mkubwa kwa jamii ya mpira wa miguu kwani alitoa mchango akiwa mchezaji, kocha na kiongozi kwa nyakati tofauti, hivyo mchango wake tutaukumbuka daima.
TFF tunatoa pole kwa familia ya marehemu Njohole, klabu ya Reli na MRFA na kuwataka kuwa na subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba huo mzito. Pia TFF itatoa ubani wa sh. 200,000 kwa familia ya marehemu kama rambirambi zake.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Amina

JIFUNZE MAANA YA TOFAUTI YA BLOG NA WEBSITE NI VITU VIWILI TOFAUTI KABISA SOMA HAPA LIVE!!
1. Kwanza elewa neno WEB ni nini:
WEB ni kifupisho cha neno zima WORLD WIDE WEB - si umeona websites nyingine zinaanza na www, basi www ni kifupisho cha World Wide Web. Kwa lugha rahisi WEB ni namna maalum ya ku share taarifa kupitia internet kwa kuunganisha mawasiliano toka kompyuta tofauti tofauti ulimwenguni. Kama vile mie nipo nchini Colombia naandika maneno haya kwa laptop yangu wewe hapo ulipo unasoma hii post kwa- sababu ya hii teknolojia ya world wide web (web).
2.WEBSITE ni muunganisho wa maneno mawili WEB na SITE.
Wajua neno web nini , basi unganisha na neno SITE kama unavyojua neno SITE ni eneo maalum kwa ajili ya shughuli maalum, au sio ? Basi WEBSITE inamaanisha ni sehemu maalum ambapo habari au taarifa fulani zinapatikana. Mfano kama wataka kusoma status za rafiki zako wa FB basi wajua ni lazima uende FACEBOOK. Hivyo FACEBOOK ni SITE kwako maalum kwa kucheki mambo maalum kama hayo ya status ! Kwakuwa FB ni site iliyopo ndani ya muunganiko tuuitao WEB, hivyo FB tunaiita WEBSITE.
3. Kwa mujibu wa Wikipedia, neno blog ni kifupisho cha neno Web LOG, yaani rekodi au usajili wa taarifa za mara kwa mara ndani ya WEB. Ili kufupisha neno zima WEB BLOG wakaita kwa kifupi BLOG-yaani kutoka neno WEB, tumechukua herufi B, halafu tukaunganisha na neno LOG, hivyo kuwa na BLOG.
--Kuelewa utafauti kati ya BLOG na WEBSITE kunategemea sana kuelewa hayo maneno matatu hapo juu yaani WEB, WEBSITE na BLOG.
Zifuatazo ni tofauti kati ya blog na website:-
Uandishi : Kwenye blogs tuna kitu tunaita POSTS ambapo hayo ni maelezo yanayowekwa na mwandishi wa blog mara kwa mara. Hata hivyo websites kwa asili huwa hazibadilishwi taarifa mara kwa mara kama ilivyo blog.
Uhifadhi wa taarifa: Blogs zina mtindo maalum wa kuhifadhi posts toka ya kwanza mpaka ya mwisho kuiandika. Na mara nyingi waweza kuona hifadhi (ARCHIVE) ya posts hizo katika blogs nyingi, hata hivyo websites nyingi huwa hazina hifadhi ya taarifa zao za siku za nyuma ndani ya websites husika.
Teknolojia: Mtu yoyote yupo huru kuandaa website kwa mtindo anaotaka yeye, tofauti na blogs ambapo tayari teknolojia yake inategemeana na matakwa ya kampuni husika inayotoa huduma ya blogging. Mfano kuna wordpress inao mtindo wake maalum, na blogger nao wana mtindo wao maalum wa jinsi blogs zao zitakavyotokea au jinsi utakavyoziandaa.
Ushirikishwaji wa wasomaji: Mara nyingi kwenye blogs huwa tuna sehemu ya comments kwa kila post, wakati taarifa za websites nyingi hazina kipengele cha ku comment.
ANGALIZO: Asasi nyingi siku hizi zimekuwa zikiambatanisha teknolojia ya blog katika websites zao ili kuendelea kuwa karibu na wateja wao watarajiwa.
Swali kwako: Je, nimesahau utofauti mwingine kati ya blog na website ? Comment hapo chini kwa kutaja tofauti nyingine.
MAREJEO: Waweza pata habari zaidi kuhusu blogs na websites toka:-
↧
KARATE NA JUDO TOKA KWA WANAJESHI WETU ZANZIBAR JANA LIVE!!
↧
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI NCHINI LIVE!!
MNAMO TAREHE 12.01.2014 MAJIRA YA SAA 05:00HRS HUKO KATIKA KIJIJI CHA LEMA NA KATA YA NGANA, TARAFA YA NTEMBELA, WILAYA YA KYELA, MKOA WA MBEYA. BICCO S/O MWAKIBIBI, MIAKA 28, KYUSA, MKULIMA, MKAZI WA KIJIJI CHA LEMA ALIUAWA KWA KUPIGWA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI WAKE NA KUNDI LA WANANCHI WALIOAMUA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI WAKITUMIA SILAHA ZA JADI MAWE NA FIMBO. CHANZO NI TUHUMA ZA WIZI BAADA YA MAREHEMU NA MWENZAKE KUVUNJA KIBANDA CHA BIASHARA NA KUIBA, MWENZAKE ALIKIMBIA BAADA YA TUKIO HILO NA JUHUDI ZA KUMTAFUTA ZINAENDELEA. MWILI WA MAREHEMU UMEFANYIWA UCHUNGUZI WA KITABIBU NA KUKABIDHIWA NDUGU KWA MAZISHI. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA KWA JAMII KUACHA TABIA YA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI NA BADALA YAKE WAWAFIKISHE WATUHUMIWA WANAOWAKATA KATIKA MAMLAKA HUSIKA KWA HATUA ZAIDI ZA KISHERIA.
WILAYA YA MOMBA – MAUAJI.
MNAMO TAREHE 12.01.2014 MAJIRA YA SAA 09:30HRS HUKO KATIKA HOSPITALI YA SERIKALI WILAYA YA MBOZI MKOA WA MBEYA. ADAMU S/O SILUMBE, MIAKA 27, MNYAMWANGA, MKULIMA, MKAZI WA KIJIJI CHA KAPELE ALIFARIKI DUNIA WAKATI ANAENDELEA KUPATIWA MATIBABU HOSPITALINI HAPO. MAREHEMU ALICHOMWA KISU MGONGONI TAREHE 10.01.2014 MAJIRA YA SAA 21:00HRS NA MDOGO WAKE AITWAE BONNY S/O SILUMBE KATIKA KIJIJI CHA KAPELE, KATA YA KAPELE, TARAFA YA NDALAMBO. CHANZO NI KULIPIZA KISASI BAADA YA MAREHEMU KUMTANGAZA MTUHUMIWA HAPO KIJIJINI KUWA ALIMTOROSHA MKE WA MTU. MTUHUMIWA ALIKIMBIA MARA BAADA YA TUKIO. MWILI WA MAREHEMU UMEFANYIWA UCHUNGUZI WA KITABIBU NA KUKABIDHIWA NDUGU KWA MAZISHI. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA WITO KWA JAMII KUACHA TABIA YA KUSHUTUMIANA NA BADALA YAKE WATATUE MIGOGORO YAO KWA NJIA YA KUKAA MEZA MOJA YA MAZUNGUMZO ILI KUFIKIA MUAFAKA. AIDHA ANATOA WITO KWA YEYOTE MWENYE TAARIFA ZA MAHALI ALIPO MTUHUMIWA WA TUKIO HILI AZITOE MARA MOJA KATIKA MAMLAKA HUSIKA ILI AKAMATWE NA SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE, VINGINEVYO AJISALIMISHE MWENYEWE.
Signed by:
[AHMED Z. MSANGI – SACP]
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.
↧
↧
ONA ALICHOKIFANYA MISS TANZANIA 2004 AMBAYE PIA NI MKE WA NAIBU WAZIRI WA CCM LIVE!!

Mrembo wa Tanzania aliyewahi kulivaa taji la Miss Tanzania 2004, Faraja Kotta Nyalandu, ameendelea kujikita katika miradi ya kuwasaidia wanafunzi ili kuongeza ubora kwenye elimu ya Tanzania.
Ikiwa ni mwaka mmoja tangu azindue tovuti yake maalum kwa ajili ya kuwasaidia wanafunzi wa O-Level kwa ajili ya kukabilia na changamoto za masomo yao, hivi karibuni mrembo huyo ambaye ni mwanzilishi wa Shule Direct anatarajia kutoa kitabu maalum chenye mbinu Kumi zitakazomsaidia mwanafunzi kukabiliana na masomo yake.
Kupitia Instagram, Faraja Kotta ameandika kuwa tayari kitabu hicho kimekamilika na akaambatanisha picha vitabu kadhaa kikiwemo kitabu hicho kinachoitwa 'Mbinu Kumi za Kumudu Masomo Yako'.
“#Unaweza #SneakPeek. Mbinu Kumi za Kumudu Masomo Yako. Kitabu kipya kutoka kwangu kwaajili ya wanafunzi. Jenga uwezo. #KikoTayari #ItsReady.” Faraja ameandika.
Mrembo huyo amepewa sapoti na Miss Universe Tanzania 2007, Flavian Matata ambaye amenukuu maneno yake na kuandika, “Proud of You Faraja, this is amazing.”
↧
SASA INASADIKIWA HUENDA SUPER STAR HUYU MBEBEZZZ NDIYE SUPER SEXXXY KULIKO MABEBEZZZ WOTE WA KIBONGO NDANI YA BONGO LIVE!!
↧
MJUE MTANGAZAJI MAARUFU DUNIANI ANYEMILIKI JUMBA LA AJABU HILI HAPA LIVE!!

Ellen DeGeneres ndio wanasema mtangazaji anayeishi kwenye jumba kali zaidi huko L.A Marekani. TMZ wame ripoti kuwa jumba hili ni kali na lenye thamani kubwa zaidi kuliko jumba lake la awali alilonunua.
Jumba lake la sasa lina thamani ya dola milioni $39,888,000 na linaitwa The Brody House. Kiwanja kina eka 2.3 , vyumba sita vya kulala, mabafu sita, bwawa la kuogelea , sehemu ya mazoezi na uwanja wa kucheza tennis.

↧
HAPPY BIRTHDAY TO JUDDY THE DAUGHTER OF MY SUPER UNCLE DA TIT AT MAMBELEZZ NEW YORK CITY/USA!! SALUTE!!
↧
↧
WADADA WA MUJINI BONGO SUPER LILY UYO MAMBO YA UPANGA WALLAHI THE BONGO TAMBALALEZZZZ KAMA VIPI HUKO MAMBELEZZZ TULIZENI BOLI KWANZA!! & I LOVE THIS!!
↧
DOWN MEMORY LANE LAST YEAR KWENYE BASH LA SUPER MOGUL DAVIS MOSHA KIBOLORLONI/MOSHI WITH MY SUPER FRIENDS UKIAKA KARIBU NA WENYE FWEZA ITAKUZOEA TU U KNOW!!
Le Mutuz with MR. & Mrs. Mlatie |
Le Mutuz with My Loong time Super Friend Mh. Lau Masha. |
LE Big Shoow with Mabebs wa Ukweli left is Linda & Bea Super Star from USA. |
Le Mutuz with another Big Sposnsor of our Super Blog Sir Edmund Chief Director of ECCO Company Inc. |
Le Biig Show Squezeeing Mbebs wa Ukweli From South Africa Clara, kama vipi imetulia sana hiyooo!! I love it!! |
LE Big show flesh to flesh with Linda |
Le Mutuz with one of My Late Bro. Ippy Malecela Great Friend Mwita Chacha great human being too! |
LE Big Shoow with Super Singer Star Rose Muhando and Super Star Comedian Massanja Mkandamizaji. It Was great Rose's Show especially when I asked her to sing "Nibebe" that was it!! |
↧
WANABUZA & TAXIDO GADERN WAMUAGA RASMI MWANAMUZIKI NGULI NCHINI GURUMO WA MSONDO NGOMA LIVE SASA HIVI HUKO BUZA/YOMBO BONGO LIVE!!
↧
HAWA NDIO WENGE MUSICA BCBG 4X4 BAADA YA KUONDOKEWA NA WANAMUZIKI WENGI WAKIWEMO KINA:- WERASON + DIDER MASELA + DOMINQUEZ + ALAN MAKABA + BLAIZE BULA.
↧
↧
LE MUTUZ LEO MEETING WAWEKEZAJI TOKA GHANA NA FRANCE (KENPONG INC. LTD) AT DOWNTOWN BONGO TALKING UWEKEZAJI KWENYE CONSTRUCTIONS HAPA BONGO GREAT TALKS LIVE!!
↧
BREAKIN NEWZZZ:- WAGOMBEA URAIS CCM HABARI YA KWANZA YA THE DATAZ LIVE!!
↧
VIDEO YA KWANZA BOYFRIEND WA JACKIE CLIFF AELEZA MAZUNGUMZO YAKE NA JACKIE AKIWA JELA MCAU/CHINA SIKILIZA ALICHOSEMA LIVE!!
↧
VIDEO YA KWANZA LIVE MTOTO MDOGO AKIRUSHA POEM LA MADIBA AT SOUTH AFRICA GOT A TALENT LIVE!!
↧
↧
BREAKIN NEWZZZ:- JELA MIAKA 90 KWA KUZAA NA WATOTO WAKE MWENYEWE ONA THIS MAJANGAZ LIVE!!
![]() |
Prosecutors said Ayinde kept the kids from revealing the rape by beating them and isolating them from other children. |
Award-winning music video producer Aswad Ayinde has been sentenced to 90 years in prison after a New Jersey court found him guilty of raping and impregnating his daughters.
The shamed star, who won an MTV award for directing The Fugees' Killing Me Softly in 1996, admitted repeatedly raping five of his seven girls to create a 'pure' bloodline that would survive Doomsday.
Many of the assaults are said to have taken place from the mid-1980s to 2002 in an abandoned funeral home, before he and his wife separated.
Ayinde, 55, was able to conceal his plot by delivering the babies himself and beating and isolating his daughters by home schooling them, the court heard during his trial.
Ayinde buried at least two babies who died in the home, without notifying authorities or obtaining birth certificates, NBC New York reported.
According to court documents, the former music producer and self-proclaimed prophet fathered six children with his daughters over the years. He also had nine children with his former wife, Beverly, and another three with two other women.
"He said the world was going to end, and it was just going to be him and his offspring and that he was chosen," Beverly Ayinde said at a pre-trial hearing.
"I was afraid to ever accuse him of being demented or being a paedophile. I knew the word, but I wouldn't dare use it because it would result in a beating."
In 2006, the molested sisters decided to go to the authorities after learning that Ayinde had fathered more children with other women.
Prosecutors revealed that Ayinde began having sex with his second daughter from the time she eight years old, and fathered her four children.
When the now-35-year-old woman stood up to testify, Superior Court Judge Raymond Reddin ordered Ayinde to put down the court papers he was hunched over and face her, news website Northjersey.com reports.
"I can't describe how much you hurt me and my sisters," she said. "You should've told the truth instead of lying.
"But obviously, with your head down like that, you do not understand."
Reddin added 50 years to the 40-year prison sentence Ayinde, 54, received in 2010 after being convicted of raping another of his daughters, who bore a fifth child.
Ayinde faces three more trials because he requested separate hearings.
↧
BREAKIN NEWZZZ:- HABARI ZA CHAMA KIPYA CHA SIASA NA WAHUSIKA WAKE LIVE HAPA!!
WAKATI fukuto la kufukuzwa uanachama kwenye Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) likiwa bado bichi, chama kipya cha siasa kimeanzishwa na watu wanaodaiwa kuwa ni muungano wa wanachama waliofukuzwa kutoka vyama vya upinzani nchini.
Taarifa zilizolifikia gazeti hili na kuthibitishwa na Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini, zinakitaja chama hicho kuwa ni African Alliance for Change and Transparence (AACT) na kwamba mipango ya usajili wa muda wa chama hicho inadaiwa kuanza kuratibiwa kwa takribani mwezi mmoja sasa.
MTANZANIA Jumapili limedokezwa kuwa, tayari chama hicho kimekamilisha baadhi ya taratibu na kinatarajiwa kupewa usajili wa muda na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa siku ya Jumanne, wiki ijayo.
Gazeti hili limedokezwa kuwa iwapo chama hicho kitapata usajili huo, upo uwezekano wa wanachama waliofukuzwa uanachama kutoka Chadema hivi karibuni kujiunga na chama hicho.
Wanasiasa wengine wanaotajwa ama kuwa nyuma ya kuanzishwa kwa chama hicho au wanatarajia kujiunga, ni wale waliofukuzwa kutoka CUF, nia ikiwa ni kuendeleza harakati zao za kisiasa.
Mmoja wa watu wanaounda chama hicho alilidokeza gazeti hili kuwa endapo chama hicho kitapata usajili baada ya hapo, taratibu na harakati za kuanza kukitangaza zitafanyika katika maeneo mbalimbali nchini.
Alisema pia wamepanga kuendesha siasa zenye upinzani, ikiwa ni pamoja na kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2015 iwapo kitakuwa tayari kimejiimarisha.
MTANZANIA Jumapili limedokezwa kuwa mchakato wa kuanzisha chama kwa wanachama waliofukuzwa upinzani, ulianza kitambo, ukilenga nia yao ya kuhakikisha wanashiriki katika chaguzi hizo.
Hivi karibuni Kamati Kuu Chadema, iliwavua uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba na Mjumbe wa Kamati Kuu, Dk. Kitila Mkumbo, huku Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, akikimbilia Mahakamani kuomba zuio la kutojadiliwa uanachama wake na kikao hicho.
Zitto, Dk. Kitila na Mwigamba walituhumiwa na uongozi wa juu wa Chadema kuandaa waraka wa siri wenye lengo la kufanya mabadiliko ya uongozi ndani ya chama, hali iliyoibua mgogoro mzito hadi kufikia uamuzi wa kuwavua uanachama baadhi yao.
Aidha taarifa nyingine ambazo MTANZANA Jumapili limezipata zinaeleza kuwa mbali na AACT, chama kingine kilichopata usajili wa muda hivi karibuni ni Chama cha Wananchi na Demokrasia (CHAWAD).
Gazeti hili lilimtafuta Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kujua iwapo kuna chama kilichoanzishwa na wanachama waliofukuzwa upinzani, alisema hana taarifa hizo, ingawa kuna chama ambacho kimepata usajili wa muda na kingine kipo kwenye mchakato huo.
MTANZANIA Jumapili lilimtafuta Mwigamba ili kujua kama anafahamu kuhusu uanzishwaji wa chama hicho, ambapo alisema hivi sasa bado hawajakaa pamoja na wenzake kujadili suala la kuanzisha chama, kutokana na kila mmoja kuwa mbali.
“Tangu maamuzi ya Kamati Kuu hatujakutana, hii ni kwa kuwa tuko mbalimbali, mimi niko Arusha na nashauriana kwanza na familia yangu nijue nini cha kufanya,” alisema Mwigamba.
Alisema hivi sasa anachokifahamu ni kwamba Dk. Mkumbo anarudi kwanza kwenye kazi yake ya awali na Zitto anasubiri uamuzi utakaotolewa dhidi ya uanachama wake.
Alipoulizwa Dk. Kitila kama ameshiriki na wenzake kuanzisha chama cha siasa, alishindwa kukataa wala kukubali, kwa kusema kuwa ukweli ama uongo wa habari hiyo utajulikana.
Alipotajiwa chama hicho na kwamba kinatarajia kupata usajili wa muda, alisema hafahamu hilo na hawezi kuzungumzia.
“Sina cha kuzungumza juu ya swali lako, kuwapo kwa chama kipya au la, nadhani ukweli utajiweka wazi nanyi mtabaini tu, hata hilo jina la chama kipya kuitwa AACT sijui,” alisema Dk. Kitila.
Mpaka sasa vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu nchini ni 23, ambavyo ni CCM, CUF, Chadema, UMD, NCCR-Mageuzi, NLD, UPDP, NRA, Tadea.
Vingine ni TLP, UDP, Demokrasia Makini, Chausta, DP, APPT-Maendeleo, Jahazi Asilia, Sau na AFP, UMD, FORD, CCK, ADC na Chaumma.

THE MAJANGAZ & BONGO:- NA HII NI HABARI YA SUPER MBURULAZZZ ALIYEVUNJA AMRI YA 6 YA MUNGU NA MAMA YAKE MZAZI LIVE!!
↧