Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live

KUNA UHALISIA WA KUFANYA HAYA M/KITI MTIKILA ?

$
0
0

                                         
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, amesema
atajiuzulu ujumbe katika Bunge Maalumu la Katiba na kwenda mahakamani kama wajumbe wenzake watakataa kuirejesha Tanganyika.
Mchungaji Mtikila aliyeteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwamo katika Bunge hilo, alisema kwa sasa anajiandaa kufungua kesi Mahakama Kuu kutaka kuvunjwa kwa Muungano na kudai katiba ya Watanganyika ambayo haipo.
“Nitawaeleza wajumbe wenzangu mambo ya msingi, ikiwemo Katiba ya Tanganyika kwanza, wakikataa najiuzulu ili niendelee na kesi yangu nitakayokuwa nimeifungua,” alisema.
Alisema jambo la muhimu ambalo lingefanyika kabla ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni uundwaji wa Katiba ya Tanganyika.
Mtikila alisema atashiriki kikamilifu katika Bunge hilo na atawaeleza wajumbe wengine jambo la kufanya kabla ya kupitisha rasimu ya katiba inayotarajiwa kujadiliwa kwenye vikao vitakavyoanza Februari 18 mkoani Dodoma.
“Nitawaeleza wajumbe wenzangu mambo ya msingi, ikiwemo Katiba ya Tanganyika kwanza, wakikataa najiuzulu ili niendelee na kesi yangu nitakayokuwa nimeifungua,” alisema.
Mbali ya Mtikila, baadhi ya wajumbe wengine waliochaguliwa kuunda Bunge hilo maalumu, wamesema watakwenda kutetea maslahi ya nchi kwa ajili ya Watanzania wote.
Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Florence Turuka, kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete, juzi alitangaza majina 201 ya wajumbe watakaowakilisha Bunge Maalumu la Katiba wanaotoka katika makundi 10 nchini.
Makundi hayo ni taasisi zisizokuwa za kiserikali (NGOs), taasisi za kidini Tanzania Bara, vyama vya siasa, taasisi za elimu, watu wenye ulemavu, vyama vya wafanyakazi, vyama vinavyowakilisha wafugaji, vyama vya wavuvi, vyama vya wakulima na watu wenye malengo yanayofanana.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Tanzania Daima Jumapili jana, baadhi ya wateule hao waliwashauri wajumbe wenzao kuwa makini kwa kuwa katiba ndiyo sheria mama inayowaongoza wote, hivyo hawatakiwi kupeleka matakwa ya vyama vyao.
Naibu Katibu Mkuu (bara) wa Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro, alisema msimamo wa chama chao ni kuwakilisha wananchi huku akisisitiza kwamba wajumbe wa Bunge hilo wanapaswa kuachana na maoni ya vyama vyao kwa kuwa katiba ni mali ya taifa.
Wasomi wanena:
Kwa upande wa wasomi na wanaharakati katika masuala ya kisiasa wamejitokeza kupongeza na wengine kupinga uteuzi wa majina 201 ya wajumbe watakaongia katika Bunge la Katiba litakaloanza wiki ijayo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Profesa Mwesiga Baregu, alisema ingependeza kama majina hayo yaliyoteuliwa na Rais Kikwete yangerejeshwa kwa wananchi ili wachague wenyewe.
Aliongeza kuwa wananchi walipaswa wachague wajumbe wa kuwawakilisha kama ilivyo katika chaguzi za udiwani, ubunge na rais kwa kuwa hilo ni Bunge linaloenda kujadili maswala yao.
“Naweza kusema kwamba, uteuzi wa rais si mbaya sana kwa kuwa umechukua wawakilishi katika makundi yote. lakini ingependeza kama wananchi wangejichagulia wawakilishi wao kwa kuwa lile ni Bunge lao na si vinginevyo,” alisema msomi huyo.
Profesa Baregu ambaye alikuwa mjumbe katika Tume ya Mabadiliko ya Katiba itakayomaliza muda wake wakati wa kupiga kura ya maoni, alisema anatarajia wajumbe hao watawawakilisha vema wananchi kwa kuwa waliomo ni wanaharakati, wanasiasa kutoka katika vyama vya siasa vyote vyenye usajili wa kudumu.
Mhadhiri Mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Benson Bana, alisema uteuzi huo umezingatia sheria na kuangalia makundi yote ambayo yalitakiwa kuwa na wawakilishi.
“Nampongeza Rais Kikwete kwa kuzingatia sheria katika uteuzi wake, lakini pia amenifurahisha zaidi kuwachukua viongozi wote wa siasa ambao vyama vyao vina usajili wa kudumu kwenda kuifanya kazi ya wananchi waliowaamini,” alisema Dk. Bana.
Alisema anatarajia vongozi wa siasa ambao wamepata nafasi hiyo, wakiwa katika Bunge hilo watajifunza kujenga hoja, kuheshimiana na kuvumiliana ili watakapotoka hapo, waweze kuwa viongozi bora.
“Ni matumani yangu kuwa Bunge hilo litakapomaliza na rasimu hiyo kurejeshwa kwa wananchi, viongozi hao watatumia uzoefu walionao kuwaelimisha wananchi na wafuasi wao hoja zilizojadiliwa na kupitishwa ili kurahisisha upigaji kura ya maoni,” alisema.
Kabla ya kutangaza majina hayo, Dk. Turuka alisema kazi ya kuwapata wajumbe wa Bunge hilo ilikuwa ngumu kwani walioomba walikuwa 3,754 na waliotoswa ni 3,553.
Alisema wapo waombaji 118 waliojiteua wenyewe na kwamba kulikuwa na vimemo vya waliokuwa wakiomba uteuzi kinyume cha sheria.
Alisema uteuzi huo umezingatia ushiriki wa rika na jinsi zote na kwa kuzingatia uwiano wa theluthi moja ya wajumbe kutoka Zanzibar na theluthi mbili kutoka Tanganyika kwenye kila kundi.
Kwa mujibu wa Dk. Turuka, wajumbe vijana wenye umri kati ya miaka 22 hadi 35 wapo 35; wenye umri wa kati ya miaka 36 hadi 64 wapo 145 na wenye umri wa miaka 65 na kuendelea wapo 21.
“Hapa kwenye umri yupo mjumbe mwenye miaka 81, tulizingatia hilo kwa sababu uzee dawa… kati ya wote hao wapo wanawake 100 na wanaume 101 ili kuweka uwiano wa jinsia, japo kidogo kwa wanaume imezidi kwa sababu hakuna mtu nusu,” alisema..
Chanzo: Tanzania Daima




ALIYE UA TARIME ACHEZA NA DOLA

$
0
0

                                              Amini usi Amini huyu jamaa wa kwenye picha ndio yule muwaji ndugu zetu watanzania wenzetu tisa kule tarime . Kwa masikitiko makubwa na simazi tele toka kwa mwanadam yoyote mwenye roho ya ubinaadam na upendo lazima swala zima la mauwaji ya tarime la wanachi na watoto walio uliwa bila sababu ya msingi litakuwa limekugusa na bado limeacha jeraha kubwa kwa ndugu jamaa na familia za marehem kwakuwa walio pigwa risasi na kupoteza maisha yao hakuna baya lolote walilo fanya paka kiasi cha kukatishiwa uhai wao bila sababu zamsingi . Huyu muwaji hivi sasa yupo mikononi mwa jeshi la polisi wa tanzania kwa mtazamo wako je unadhani adhabu gani stahiki inamfaa kwa vitendo vyake vya mauwaji alivyo fanya ? comment kwakuwa mawazo yako ni muhim sana
Amini usi Amini huyu jamaa wa kwenye picha ndio yule muwaji ndugu zetu watanzania wenzetu tisa kule tarime . Kwa masikitiko makubwa na simazi tele toka kwa mwanadam yoyote mwenye roho ya ubinaadam na upendo lazima swala zima la mauwaji ya tarime la wanachi na watoto walio uliwa bila sababu ya msingi litakuwa limekugusa na bado limeacha jeraha kubwa kwa ndugu jamaa na familia za marehem kwakuwa walio pigwa risasi na kupoteza maisha yao hakuna baya lolote walilo fanya paka kiasi cha kukatishiwa uhai wao bila sababu zamsingi . Huyu muwaji hivi sasa yupo mikononi mwa jeshi la polisi wa tanzania kwa mtazamo wako je unadhani adhabu gani stahiki inamfaa kwa vitendo vyake vya mauwaji alivyo fanya ? comment kwakuwa mawazo yako ni muhim sana

PAMBANUAI : UWEZO WA KUAMUA, KUZINGATIA NA KUTENDA

$
0
0



MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO, NI CHANZO KIKUU CHA SARATANI YA KOO?

Saratani imeendelea kuwa tishio hapa nchini huku hofu ikiendelea kuikumba jamii kutokana na wataalamu wa afya kushindwa kufahamu tiba halisi ya maradhi hayo hatari. Takwimu kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road zinaonyesha ongezeko la saratani ya mdomo na koo kwa kiasi kikubwa kutoka kesi 167 mwaka 2006 hadi 277 mwaka 2012. Mkurugenzi wa Idara ya Kinga 

Ocean road, Julius Mwaiselage anaeleza kuwa watanzania wasipende kuiga mambo ambayo si sahihi bila kujua madhara yake kama kufanya mapenzi kwa njia ya mdomo. “Saratani ya mdomo ipo, na nyingine zinasababishwa na zinaa “ anasema Dk Mwaiselage

Tafiti za saratani

Tafiti mbalimbali zimewahi kufanyika nchini na kubaini kuwepo kwa ongezeko la saratani ya mdomo.Utafiti uliofanywa na Dk Innocent Mosha wa Kitengo cha Patholojia cha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), umebaini aina za saratani 1,594, kati ya hizo 509 zikiwa ni za midomo kwa mwaka 2003 pekee. Matokeo hayo yanaonyesha kuwa kati ya saratani 509 za mdomo, saratani 242 zilisababishwa na Virusi vya Human Papiloma ambavyo hutokana na zinaa. “Ninachojua mimi ni kuwa Virusi vya HPV husababishwa na magonjwa ya zinaa, hivyo mtu anayeugua saratani ya aina hiyo, imetokana na zinaa,” anasema Dk Mosha.


Wanaume waathirika zaidi wa Saratani

Takwimu hizo ni zile zilizopatikana kwa watu waliokwenda kufanyiwa uchunguzi katika Mkoa wa Dar es Salaam pekee. Dk Mosha anasema kuwa wanaume ndiyo huathiriwa zaidi na saratani ya mdomo ambapo kwa hapa nchini, asilimia 53 ya wanaume waliofika MNH kwa ajili ya vipimo, walibainika kuugua saratani hiyo, huku wanawake wakiwa ni asilimia 47. Utafiti kama huo ulifanywa pia na Dk Amos Mwakigonja, mkuu wa Idara ya Patholojia katika Chuo Kikuu cha Tiba cha Muhimbili (MUHAS).


Dk Mwakigonja alifanya utafiti wa saratani ya mdomo aina ya Kaposi’s Sarcoma ambapo wagonjwa 78 walibainika na saratani hiyo kuanzia mwaka 1990 hadi 2003. “Saratani za mdomo zipo za aina nyingi na zimetofautiana kulingana na visababishi vyake,” anasema Dk Mwakigonja. Katika utafiti wake Dk Mwakigonja alibaini kuwa wanawake wengi walikuwa na saratani ya mdomo aina ya Kaposi’s Sarcoma kuliko wanaume.


Hata hivyo, utafiti huo ulionyesha kuwa asilimia 50 ya wanaume walikuwa na saratani ya mdomo hatari zaidi (systemic) kuliko wanawake ambao ni asilimia 37.


Mapenzi kwa mdomo husababisha maradhi

Dk Mwakigonja anasema kuwa mapenzi yoyote kwa njia ya mdomo lazima yasababishe maradhi ya zinaa iwapo mmoja ameambukizwa. Pia anasema kwamba sampuli nyingi za wanaume wanaojihusisha na mapenzi na wanaume wenzao (mashoga) zilibainika na saratani ya mdomo. Utafiti huo ni sehemu ya utafiti wa Shahada ya Uzamivu ambao ulionyesha kuwa wagonjwa wengi wa saratani ya mdomo walikuwa ni wanaume wenye umri wa miaka kati ya 38 na kuendelea na wanawake ni 31.

Ufatiti wa WHO Tanzania

Shirika la Afya Duniani (WHO) pia lilifanya utafiti mwaka 2010 nchini kwa kushirikiana na Kituo cha Taarifa za HPV, ambapo ilibainika kuwa asilimia 20 ya saratani za koo na mdomo nchini zinasababishwa na ufanyaji wa mapenzi kwa njia ya mdomo.

Taarifa hizo za WHO zinaeleza kuwa wanaume 747 hugundulika na saratani ya mdomo kila mwaka wakati wanawake 472 hubainika na saratani hiyo pia. Wakati huohuo, wanaume wanaopoteza maisha kutokana na saratani hiyo ni 444, kwa mwaka na wanawake ni 270, kwa mwaka. Utafiti wa WHO umebaini kuwa saratani ya mdomo inashika nafasi ya sita katika aina 24 za saratani 24 zinazoisumbua zaidi Tanzania.


Ripoti hiyo inaeleza kuwa wanaume wanaoathirika zaidi ni wenye umri wa kati ya miaka 15 na 55, ambao tayari wameshaanza kujihusisha na ngono. Kama maradhi mengine ya kuambukiza, Virusi vya HPV huambukizwa kwa urahisi zaidi kutoka kwa wanawake kwenda kwa wanaume kuliko kutoka kwa wanaume kwenda kwa wanawake. Utafiti huo uliodhaminiwa na mfuko wa Bill na Melinda Gates na Kituo cha Saratani na Mpango wa Utafiti wa Taasisi ya ICO unaeleza kuwa mitandao ya kijamii na picha za ngono ndiyo chanzo cha watu wengi kuiga ufanyaji wa mapenzi ya aina hiyo.

HIZO NDIZO ATHARI ZA KUNYONYA UKE WA MSICHANA

KUTOKA FB IKITAMBULISHA ASILI YA WENGI

KUMBUKUMBU YA LADY JAY DEE

$
0
0


DSC04224
Few things are guaranteed in life. One of them is
death. In a certain day, in unknown date, you and I are both gonna call it quit. We will die. Who knows what happens when we die? Do we turn out to be dinosaurs somewhere?
Before we die, however, we have a golden chance to make history. To prove to ourselves and our creator that we are/were something. He never made a single mistake for creating us. How do we do that? What are you currently doing with your life. What history are you writing or will the rest of the world [even if that world means only few of your friends] write when you are gone? The time to create that history, that image is now. Don’t wait till you are gone. Live to make history and live to be that history


Lady Jay Dee’s new video for the song Historia is here. Watch it
You need to a flashplayer enabled browser to view this YouTube video

MARIO BALOTELLI: ATOA CHOZI KWA UBAGUZI WA RANGI

$
0
0


Wakati wa mechi ya jana Jumamosi usiku ambapo  klabu ya Ac Milan ilikuwa inamenyena na  Napoli FC ,  Mshambuliaji asiyehishiwa vituko anayechezea AC Millan,  Mario Balotelli alioneana akilia na  kujaribu kuficha hali hiyo ambapo hapo baadae ilimzidia na kujikuta akimwaga machozi.
Ikiwa zimebakia takribani dakika 15 kwa mchezo kuweza kumalizika,  Balotelli aliyekuwa ametolewa muda huo alionekana akiwa benchi  akilia licha ya kuficha uso wake kwa kutumia jacket,  ila baadae alikuja konekana wazi akitoa machozi huku sababu zikitajwa kuwa ni kauli za kibaguzi zilizokuwa zinatolewa na mashabiki wa Napoli.
Tazama kipande cha VIDEO kinachomuonyesha mchezaji huyo akimwaga machozi baada ya kutolewa 
http://www.youtube.com/watch?v=SBv-nFecFBU

THIS IS FOR U,MAGAZETI YA BONGO LEO JUMATATU 10/02/2014,UDAKU,SIASA NA MICHEZO

$
0
0

.
.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

millard ayo

JUST IN,WEWE NI KWANZA KUANGALIA VIDEO HII MPYA YA LADY JD "HISTORIA"


THE UDAKUZ@ ROSE MUHANDO ALIPOONJA LUPANGO KWA MASAA KADHAA

$
0
0
STAA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando yamemkuta ya kumkuta ambapo Ijumaa iliyopita alishikiliwa na Polisi wa Kituo cha Msimbazi jijini Dar es Salaam kwa madai ya kuingia mitini na shilingi milioni 6 alizolipwa kwa ajili ya kwenda kufanya shoo ya kiroho, Mombasa, Kenya Novemba 3, 2013 lakini hakutokea.
Rose Muhando.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Rose alidakwa jijini Dar es Salaam saa sita mchana huku
mlalamikaji wake akiwa ni mtu aliyejulikana kwa jina la Nathan Wami. Nathan amewahi kuwa meneja wa kazi za Rose Muhando. Kwa sasa Rose anaratibiwa na Kampuni ya Sony.
MADAI YA JALADA LA KESIKwa mujibu wa chanzo, jalada la kesi hiyo lilifunguliwa Dodoma likisomeka; DOM/RB/1129/2014 KUJIPATIA MALI KWA NJIA YA UDANGANYIFU.Hata hivyo, ilidaiwa kuwa Rose aliachiwa kwa dhamana akitakiwa kurudi kituoni hapo Februari 8, 2014 huku mkononi akiwa ameshika kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kumlipa mlalamikaji huyo.
WIKIENDA LATINGA POLISI MSIMBAZIBaada ya kuinyaka nyeti hiyo, Ijumaa Wikienda lilipiga hodi kituoni hapo na kuulizia kama ni kweli nyota huyo wa wimbo wa Utamu wa Yesu alishikiliwa.“Sisi si wasemaji wakuu wa polisi, hatuna mamlaka hayo. Hatuwezi kusema ni kweli au si kweli,” afande mmoja alilijibu gazeti hili.
MADAI NYUMA YA PAZIAWakati madai ya Rose yakiwa hayo, nyuma ya pazia kuna mlolongo wa matukio ya kushangaza kati ya mwimbaji huyo na Nathan.Kwa mujibu wa chanzo kimoja, Rose amekuwa akiingia kwenye madai ya kupokea fedha za shoo na kutokwenda lakini Nathan akielekezewa lawama zote.
PESA APOKEE MENEJA, LAWAMA ABEBESHWE ROSE“Jamani mimi nataka kuwaambia ukweli, Rose hahusiki na hiyo tabia. Wengi wanasema ana mchezo wa kuchukua fedha za watu halafu haendi kwenye tukio lakini ukweli si huo,” kilisema chanzo hicho.Wikienda: “Ukweli ni upi? Funguka basi.”Chanzo: “Ukweli ni kwamba, Nathan amekuwa akimnyanyasa sana Rose kwa muda wote aliokuwa meneja wake.
“Ilifika mahali, Nathan ndiye alikuwa akipokea pesa kutoka kwa watu wanaomhitaji Rose bila kuwasiliana na mwenyewe. Wakati mwingine Rose hajulishwi mapema. “Siku akiambiwa, pengine anaumwa au yupo mbali na eneo la tukio, sasa hapo waandaaji wanamsema Rose kwamba amechukua fedha na kuingia mitini,” chanzo kilizidi kuweka wazi.
ROSE HANA CHA KUFANYAKwa mujibu wa chanzo, hali hiyo imekuwa ikimsumbua sana Rose kwani ni kweli wengi wanaamini hivyo lakini ukweli ni kwamba anasingiziwa tu, Rose hawezi kupokea fedha halafu asiende kuimba ila kwa sababu Nathan ni meneja wake aliyemtoa kisanii anajikuta hana la kufanya.
“Mbona kwenye matamasha ya Pasaka na Krismasi yanayoandaliwa na Msama Promotion hatujawahi kusikia Rose kaingia mitini? Ni kwa sababu Msama mwenyewe anawasiliana naye moja kwa moja,” kiliendelea chanzo.
NATHAN ALIISHI NA ROSE KWA UBABEIkazidi kudaiwa na chanzo chetu kwamba katika kipindi chote, Nathan amekuwa akiishi na Rose kwa ubabe wa hali ya juu, jambo ambalo lilimuathiri Rose kisaikolojia bila kujijua.“Kuna mengi sana, tena yale ya ndani zaidi, sipendi kuyasema lakini Nathan mwenyewe anayajua, siku ikifika nitayalipua kama atapinga,” kilisema chanzo.
ROSE MUHANDO HUYU HAPAIjumaa Wikienda lilimtafuta Rose kwa lengo la kutaka kumsikia atakachokisema juu ya madai yote hayo kuhusu yeye na Nathan, lakini zaidi ya yote tukio la kuwekwa mahabusu ya Msimbazi Polisi, msikie:“Kusema ule ukweli mimi namwachia Mungu, yeye anajua ukweli uko wapi na uongo uko wapi!”
NATHAN SASABaada ya hapo, gazeti hili lilimtafuta Nathan Wami na kumsomea mashitaka yote.Nathan: “Hayo madai si ya kweli. Kama kasema yeye siyo kweli. Nimeishi na Rose karibu miaka kumi na mbili, nilikuwa namchukulia kama mtoto wangu.“Nimekuwa nikiona kwenye magazeti kwamba eti alisaidiwa na mfuko wa kanisa wakati mimi ndiye niliyemtoa.”
Wikienda: “Kwa hiyo madai kwamba umekuwa ukiishi naye kibabe, hukuwa unamtendea haki si ya kweli?”Nathan: “Si ya kweli hata kidogo.”
MSAMA ANAMLIPA NANI? Gazeti hili liliwasiliana na muandaaji wa matamasha ya Pasaka na Krismasi, Alex Msama kuhusu malipo ya Rose Muhando.Msama: “Mimi huwa namalizana na Rose.”Wikienda: “Kuna mwaka umewahi kumlipa pesa halafu hakutokea kwenye tamasha lako?”Msama: “Hapana, hata Tamasha la Pasaka mwaka huu atakuwepo panapo uzima maana tumeshamalizana.”
KUTOKA KAMPUNI YA SONYHabari zilizopatikana kutoka Kampuni ya Sony ambayo inamratibu Rose kwa sasa, zinasema kuwa wakati wa kuingia makubaliano na nyota huyo walikutana na masuala hayo ya madeni lakini walipofanya uchunguzi wakagundua mambo ambayo hawakutaka kuyaweka wazi lakini kimsingi walimhurumia Rose.
“Ila mabosi wa Sony waliamua kuwa yale madeni yaliyopita watayalipa wao, yale ambayo tarehe za Rose kuimba bado, wamemwambia akaimbe ili kumalizana na wahusika,” kilisema chanzo hicho na kuomba kutotajwa jina gazetini.

NA GPL–

HOT PIC OF THE DAY,LEGEND WA BONGO FLEVA PROF.J ALIPOTOA PENZI LAKE ZITO KWA WATU HAWA

$
0
0

BINADAMU wote ni sawa..Na tumeagizwa AMANI Na UPENDO, Mwenyezi Mungu awabariki sana! !!

HOTE NEWZ,HUYU NDIYE MMASAI WA KWANZA KURUSHA NDEGE YA FAST JET HAPA DUNIANI

$
0
0
William Zelothe Stepehen akiwa ndani ya ndege aina ya Airbus A319.
William Zelothe Stepehen ni Mtanzania wa Kwanza Mmasai aliyepewa ithibati ya kuiongoza ndege aina ya Airbus A319 punde tu baada ya kupokea mafunzo ya urubani yaliyodhaminiwa na shirika la ndege la fastjet. Alipata mafunzo hayo nchini Uingereza kwa muda wa takriban miezi miwili na amerudi nchini Tanzania hivi karibuni. William alikulia Olosipe jijini Arusha ambapo ni nyumbani kwa wazazi wake.
William anafananisha anavyojihisi anapoiongoza ndege ya Airbus A319, na wakati akiwa katika nyumba nzuri ya kifahari na ya kisasa; anaielezea ndege ya Airbus A319 kama ndege iliyo imara na ambayo imewekewa mifumo mingi ya usalama. Kwa maneno yake mwenyewe, anasema “Ndege ya Airbus inakulinda kweli kweli, kama unaifahamu vyema”
William amewahi kusomea usimamizi wa wanyama pori; alipata mafunzo ya urubani kwa mara ya kwanza kule Florida Aviation Academy nchini Marekani mwaka 2006 ambapo alipata leseni yake ya usafirishaji kwa ndege. Ingawa ana umri mdogo, ana uzoefu wa masaa 3,053 ya kuongoza ndege.
Kumwajiri rubani huyu mtanzania mwenye miaka 28, ni mojawapo ya jitihada za fastjet za kuhakikisha kuwa kampuni hiyo inaajiri watendaji wazawa waliobobea katika fani hiyo hapa nchini. Mikakati yao ya kuajiri pia ni mojawapo ya wajibu wao mpana wa kuwekeza nchini Tanzania. Kwa kila rubani aliyepokea mafunzo, fastjet imetumia gharama inayokadiriwa shilingi 49,546,400 hela za kitanzania ambayo ni sawa na 31,027 dola za kimarekani.

Fastjet ni shirika jipya la ndege la nauli nafuu Afrika ambalo lilipata umiliki wa FLY540 na kwa mantiki hiyo likazindua kampuni ya kwanza ya usafiri wa ndege ambalo linazingatia bajeti. Fastjet, ambayo inaungwa mkono na mwanzilishi wa Lonrho na easyGroup Bwana Stelios Haji Ioannou, imetambulisha nauli za kiwango cha chini hadi kiasi cha Tsh32,000 bila kujumlisha kodi ili kuwawezesha mamilioni ya watu ambao walikuwa wameshindwa kusafiri kwa ndege, kuweza kusafiria ndege kwa mara ya kwanza na kuendelea kutumia ndege mara kwa mara. Tangu kuzinduliwa kwake mwezi Novemba 2012, shirika hili la fastjet limewasafirisha zaidi ya watu 70,000 na asilimia 99.7 ya safari za ndege zikisafiri katika muda uliopangwa.
Credit:Matukio na Vijana

DUHHH!!UJUMBE MZITO WA BIBI HUYU KWA DADAZ NA MAMEN WOTE KWENYE HII SAYARI

WADAU WA CCM MAREKANI WAKUTANA KUSHEREKEA MIAKA 37 YA KUZALIWA KWA CCM JIJINI OAKLAND,CA

$
0
0

 Meza Kuu Kutoka Kushoto ni Katibu wa Tawi la CCM - California Ndugu Erick Byorwango, Mwenyekiti wa Tawi la California Ndugu Josephine Masabala, Mwenyekiti wa Tawi la Chicago Ndugu Tina Lupembe na Katibu wa Tawi la Houston Ndugu Abdallah Nyangasa
 Mwenyekiti wa Tawi la California Ndugu Josephine Masabala akifungua rasmi kikao 
 Mwenyekiti wa Tawi la Chicago Ndugu Tina Lupembe akitoa salamu na nasaa zake kwa WanaCCM waliyohudhuria 
 Mwakilishi wa Tawi la Houston, Texas Ndugu Abdallah Nyangasa akitoa salamu na machache kwa WanaCCM waliyohudhuria
 Katibu wa Tawi la California Ndugu Erick Byorwango akisoma risala ya Tawi 
 Katibu Erick Byorwango, Mwenyekiti Josephine Masabala na Mjumbe Stella Byorwango katika Picha ya Pamoja
 Wajumbe Stella Byorwango, Peter Ligate na Mwenyekiti Josephine Masabala katika Picha ya pamojakwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mjumbe Yassin Kapuya na Mwenyekiti Josephine Katiika Picha ya Pamoja
Wajumbe Yassin Kapuya na Peter Ligate, Vazi Maalum la Kapuya limetengenezwa na Kwetu Fashion
Mwenyekiti wa Tawi la California akimkaribisha Mwanachama mpya Ndugu Vincent
Mwanachama Mpya Vincent akifurahia kujiunga na Chama Kubwa





LIVE !!! MSANII MKAREZ WA BONGO FLEVA APIGWA ALIA KWA KUPIGWA JUJU

$
0
0
Mwanamuziki na muigizaji baby Joseph madaha amefunguka na kusema kuwa kweli ameamini uchawi na kupigana juju vipo kwenye gemu kwani mambo yaliyomtokea hivi karibuni haelewi hata imekauje.

Chanzo nini?

Hapo siku za nyuma baby Madaha alipatikana na dhahama ya kukumbwa na kashfa nzito sana ya kujiuza kwa dau la milioni kumi kwa jamaa mmoja hivi mitaa ya Dar es Salaam Jambo lilolopelekea yeye kupigwa chini na Record label yake ya Candy and Candy ya huko Kenya na kupokonywa gari aina ya AUDI TT aliyokuwa akitembelea huku akiharibu pia uhusiano wake na bosi wa record label hiyo - Joe kairuki ambaye pia anadaiwa kuwa mpenzi wake.

Je ni Kweli alijiuza?

Baby Madaha ambaye amerudi nchini hivi karibuni tokea Nairobi alipoenda “ku-solve” ishu yake hiyo na label hiyo anasema yani hata haelewi kitu gani kilitokea siku hiyo ingawa mpaka akaandikwa kama alienda kujiuza, anachokumbuka ni kupigiwa simu na mtu asiyemfahamu an kumwambia anataka wafanye naye kazi ya kusambaza filamu yake mpya ya Gal Bladder ambaye inatikisa soko kwa sasa.

Baada ya kufika hapo waliongea vizuri na kuondoka ghafla kabla ya kuja kusoma kesho yake kuwa alikuwa anajiuza kitu ambacho ansema hajui kimetoka wapi.

“Yani hata sielewi ilikuaje nikaenda kukutana na yule jamaa, ilikuwa ni kama muujiza hivi, mwanzo nilisita sana ila nikashangaa nimefika tu pale bila kujielewa, ni vitu vya ajabu sana” alieleza baby Madaha.

Uhusiano wake na Label hiyo ukoje sasa?

Akizungumza na bongomovies, baby amesema kwa sasa kila kitu kipo sawa kwani alipoenda Kenya waliongea vizuri na bosi wake huyo na kumaliza tofauti zao na sasa amerudi nchini kusambaza filamu yake hiyo mpya ya Gal bladder huku akijiindaa kupiga show kwenye tour yake aliyoiandaa  jina la Top Up and Refill itakayofanyika mwezi ujao wa tatu.

Mwenyewe anasemaje zaidi?

Hata wafanyaje, waniroge, wanichafue, i'm a bad gal, na sibabaishi na vijimaneno vya watu hata kidogo, sitoki candy and Candy hata waloge kwa waganga wote duniani. Kama walifikiri nimeumbuka, wajue watasubiri sana. Nikitoka kenya naenda Holywood tu!
Via Udakuz

JENGO HATARI KWA IKULU YA NCHI HILI HAPA,WALIOJENGA KUHUKUMIA LEO

$
0
0
 
Hukumu ya jengo refu jirani na Ikulu leo

HUKUMU ya kesi ya matumizi mabaya ya ofisi katika utoaji wa kibali cha ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na Ikulu Dar es Salaam, inayowakabili vigogo wawili wa Wakala wa Ujenzi, inatarajiwa kutolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam..

LIVE PICHAZ ZA MKALI WA MIPASHO MZEE YUSUPH ALIVYOTIKISA LONDON USIKU WA LEO

$
0
0
Mzee Yusuf akiwa kwenye jukwaa alipofanya makakmuzi ya nguvu mjini London, Uingereza siku ya Jumamosi Feb 8, 2014 na kukonga nyoyo za mashaniki wa taarab wa Uingereza.
Mashabiki wa mopasho wakishindwa kujizuia walipopanda jukwaani sambamba na Mzee Yusuf aliyefanya makamuzi ya nguvu jijini London Uingereza siku ya Jumamosi Feb 8, 2014 na kuachengua vilivyo mashabiki hao.
Mdau namba wani wa Mzee Yusuf akipata ukodak moment baada ya kupagawishwa na mipasho ya mwanamuziki huyo wa anayetesa kwa sasa ndani ya Bongo na kwa Watanzania walliopo nchi za watu
Mashabiki wakishindwa kujizuia kwa burudani la kukata na shoka kutoka kwa mfalme wa Taarab kutoka Tanzania alipotia nanga mjini London kwa show ya kukata maini aliyofanya siku ya Jumamosi Feb 8, 2014.
Mwana Bloga Jestina George kiti kilikua hakikaliki kwa mipasho ya Mzee Yusuf alipofanya makamuzi ya kufa mtu siku ya Jumamosi Feb 8, 2014 mjini London, Uingereza.
Mlimbwende akienda sambamba na Mzee Yusuf jukwaani.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Picha kwa hisani ya Jestina George Blog

NEWSSSSSSS FROM RUSSIA, TWO SILVER & 1 BRONZE MEDALS

$
0
0


Russia wins one gold, two silver and one bronze medals; holds fourth place in Sochi

At the end of the second day
of the Sochi Olympics, Russia is holding the fourth place among the teams after winning a gold medal in figure skating, two silver medals in luge and biathlon and a bronze medal in speed skating.

Silver medalist of the 2006 Olympics in Turin Albert Demchenko repeated his success at the Olympics at home. In the single-seat sledge competition the 42-year-old Russian was ahead of two-time Olympic champion Armin Zoeggeler by 0.795 seconds. German Felix Loch won his second Olympic gold medal with an advantage of 0.476 points over Demchenko.
demchenko
Albert Demchenko         Photo: RIA Novosti
In the figure skating competition among teams Russia won its first Olympic gold medal. Russia was given 75 points. The Canadian team became second with the result of 65 points. The US figure skaters won bronze (60 points).
figureskating
Yelena Ilyinykh and Nikita Katsalapov        Photo: RIA Novosti
Russian biathlete Olga Vilukhina became the silver medalist in sprint at the Sochi Olympics. The 25-year-old sportswoman covered a distance of 7.5km with two firing positions without misses and lost 19.9 seconds to Anastasia Kuzmina representing Slovakia. Vita Semerenko from Ukraine won bronze.
biathlon
Olga Vilukhina         Photo: RIA Novosti
Olga Graf claimed Russia's first Olympic medal, bronze, in 3,000m women's speed skating with the result of 4:03.47. Dutch Ireen Wust won gold (4:00.34) and Czech Martina Sablikova won silver (4:01.95).
olgagraf
Olga Graf           Photo: RIA Novosti
The eventful Sunday Olympic programme will end with a ski-jumping competition. Men's finals started at 9:30 pm but Russia is unlikely to win medals in this sport. Among Russians, Mikhail Maksimochkin has the best result and he is only number 10 after the first attempt.
Russia’s figure skaters have won the team tournament at the Sochi Winter Olympics ahead of schedule. Gracie Gold from the US outperformed Kaetlyn Osmond from Canada in the free-style programme.
As a result, Canada's team has lost its chance of winning gold. Yuliya Lipnitskaya (Russia) has not performed in the free-style programme yet. To officially win the first gold medal in history at the Olympic Games in the team tournament the Yelena Ilyinykh - Nikita Katsalapov pair must simply complete their free-style dance.
Russia's ageless figure skating hero Evgeny Plushenko won the men's free skate in the Sochi Olympic team event on Sunday to send the home country hurtling toward a first gold medal.
The victory in front of a partisan Iceberg Skating Arena crowd on the Black Sea coast gave Russia a maximum ten points, which extends the nation's cushion over Canada at the top of the standings to seven points with two events remaining.
Plushenko, 31, picked up where he left off on Thursday, when the Turin Olympic champion rolled back the years to finish second in the short program to Japanese star Yuzuru Hanyu.
Skating to the "Best of Plushenko's" a medley of past accompaniments, an unflinching Plushenko nailed jump after jump in a show that began with a confident quadruple toeloop as the strains of "The Godfather" rang out.
The judges' score was 168.20.
Patrick Chan’s replacement for Canada, Kevin Reynolds, fell on a triple axel early in his nonetheless impressive program and earned 167.92 for second place.
Third place on the night went to Japan's Tatsuki Machina with 165.85.
The result leaves the gold medal tangibly within Russia’s grasp, with 15-year-old prodigy Julia Liptnitskaia set to go in the women’s free program later before European silver medalists Elena Ilinykh and Nikita Katsalapov look to lock down first place in the ice dance.
Russian figure skaters Yevgeny Plushchenko, Yulia Lipnitskaya and the ice dance duo of Yelena Ilyinykh and Nikita Katsalapov are to perform on Sunday, the final day of Olympic team tournaments.
Team Russia had been leading the pack at the beginning of day two with 47 points, followed by Canada (41 points) and the US (34 points).
America has fielded such figure skaters as Jason Brown, Gracie Gold and the Meryl Davis/Charley White duo.
Russia has achieved top ranking after the first day of the team figure skating tournament at the 22nd Winter Olympic Games in Sochi.
In men's short program, the renowned Russian athlete Yevgeny Plushenko turned out second with nine scores, ceding the top position to Yuzuru Hanyu of Japan.
Men were followed on the ice by a short program in pairs where Tatiana Volosozhar and Maxim Trankov of Russia gave a spectacular performance, which brought them ten scores and put the Russian team result ahead of the others.
Voice of Russia, TASS, R-Sport, RIA Novosti

YALIYOJIRI USIKU WA OMMY DIMPOZ JIJI LA WAJANJA - OAKLAND, CALIFORNIA - PICHA ZAIDI BAADAYE

$
0
0

 Mwenyekiti wa Tawi la CCM Josephine Masabala akipata Ukodak na Ommy Dimpoz
 Katibu wa Tawi la California Erick Byorwango na Stella Byorwango wakipata Ukodak na Ommy Dimpoz
Katibu Mwenezi wa Tawi la California Jane Maloda na Penina Mshiu  wakipata Ukodak na Ommy Dimpoz
Mwenyekiti wa Tawi la Chicago na Promoter Mashuhuri Tina Lupembe akipata Ukodak na Poz kwa Poz
Tina Lupembe na Regina Kwenye Poz kali
Angela, Josephine, Tina, & Regina
Promoter Extraordinaire J & P Ent. akiwa na Msanii Mbongo Erica anayeishi San Fransisco - Erica Alifungua Show ya Ommy Dimpoz
Josephine na Tina
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Ommy Dimpoz akila Poz na Mwajuma na Steve
Bwana Ligate akiwa na Mabebs wa Ukweli Tina na Regina
Mzee mzima Kapuya
Ommy Dimpoz na Mwajuma kwenye Pozi zito

HOT NEWZ ON JOKATE ALIPOFUNGUKA SIRI YA YEYE KURUDISHA MAJESHI KWA SUPER WEMA SEPETU

$
0
0
THE big boss wa Kidoti, Jokate Mwegelo ambaye pia ni staa wa sinema na Bongo Fleva, amefichua siri ya kupatana na Wema Isaac Sepetu akisema kuwa sababu ya yeye kuonekana kwenye jukwaa moja na aliyekuwa hasimu wake huyo ni kutafuta amani ya moyo aliyokuwa ameikosa si kweli kwamba alisukumwa na nguvu ya pombe.…
Wawili hao walipatana hivi karibuni wakiwa jijini Arusha.
Akizungumza na gazeti namba moja la burudani Bongo, Ijumaa Wikienda, Jokate alisema ilipokaribia siku ya kwenda Arusha, Wema alimkaribisha kwenye shoo yake iliyofanyika jijini humo lakini alimwambia kuwa amebanwa ila akamuahidi kwamba akimaliza mambo yake atakwenda kumsapoti.
“Wema aliondoka bila kujua kama nitakwenda lakini nilipopanga ratiba yangu ikakaa sawa, niliamua kwenda na kumfanyia ‘sapraizi’ na si kweli kwamba nilisukumwa na nguvu ya pombe,” alisema Jokate.
Jokate alisema kwamba hakushauriwa wala kujadiliana na mtu yeyote isipokuwa aliamua mwenyewe kufanya jambo hilo ambalo lilikuwa likimkosesha faraja kwa muda mrefu.
“Nimeamua kumaliza mabifu kwa sababu nilikosa amani ninayoitaka kwa muda mrefu. Ukweli Wema alinikaribisha, nikaona ndiyo sehemu ya kutimiza lengo langu la kupatana naye,” alisema Jokate ambaye aliingia kwenye gogoro na Wema baada ya kutembea na mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Global Publisher

FAGIO LA CHUMA NOW KWA WOTE WALIOTANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS CHAMA TAWALA

$
0
0
Baadhi ya makada wa CCM ambao wataitwa mbele ya Kamati ya Maadili na Usalama ya chama hicho, wanakabiliwa na shtaka la kutoa rushwa kwa lengo la kushawishi kukubaliwa kwao, Mwananchi limebaini.

Makada hao ni wale wanaodaiwa kuwa katika harakati za kuwania urais wa 2015, hatua ambayo imekigawa chama hicho katika makundi yasiyo rasmi ya yanayowaunga mkono wagombea hao.

Tovuti hili imedokezwa kuwa mgombea mmoja wa nafasi hiyo mwenye ushawishi mkubwa aligawa fedha Sh200,000 zilizoambatana na kadi za kuwatakia heri ya Krismasi na Mwaka Mpya 2014 idadi kubwa ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM.

Kadhalika, habari kutoka ndani ya chama hicho zinasema baadhi ya wanaojiwinda kwa ajili ya uongozi, pia waligawa fedha kwa kigezo cha kuwashukuru wajumbe waliowachagua kuingia katika Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), zaidi ya mwaka mmoja uliopita.

Hata hivyo, taarifa zaidi zinasema baadhi ya wajumbe waliopelekewa kadi hizo na fedha, walitoa taarifa kwa uongozi wa juu wa CCM pamoja na kuzirejesha, huku wakitaka wahusika wachukuliwe hatua.

“Kumekuwa na shinikizo kubwa kutoka kwa baadhi ya watu ndani ya chama kwamba ugawaji wa fedha nyingi kiasi hicho haupaswi kuvumiliwa hata kidogo, kwa hiyo ni dhahiri kwamba suala la chama kuchukua hatua halina mbadala, lazima hatua zichukuliwe,” alisema mmoja wa watendaji wa CCM makao makuu Dodoma na kuongeza:

“Waliorejesha hizo kadi na fedha hatukuwaruhusu waondoke hivihivi, bali tuliwataka waandike barua za malalamiko maana tunaweza kuwahitaji kwa ajili ya kutoa ushahidi mbele ya Kamati ya Maadili.”

Uchunguzi unaonyesha kuwa miongoni mwa waliorudisha fedha na kadi hizo ni wenyeviti wa wilaya na wajumbe wa NEC wa wilaya ambao ni sehemu ya walioshinikiza kuchukuliwa kwa hatua.

Akizungumzia suala hilo mwishoni mwa wiki iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Tanzania Bara), Philip Mangula alisema mwanachama yeyote wa chama hicho hatakiwi kutoa michango, misaada, zawadi kwa mtu au katika shughuli yoyote bila kupata ridhaa ya uongozi.

“Kufanya jambo hilo ni kwenda kinyume na kanuni za chama. Ndani ya chama kila ngazi ina Kamati ya Maadili, wote ambao wameanza kwenda kinyume na kanuni za chama watahojiwa katika kamati hizo,” alisema Mangula na kuongeza:

“Hairuhusiwi kuwasafirisha wajumbe, kuwapa malazi, chakula, vinywaji na ukifanya hivyo utakuwa unakwenda kinyume na utaratibu uliowekwa na Kamati ya Sheria, Katiba na Kampeni.”

Akihutubia kilele cha maadhimisho ya miaka 37 tangu kuzaliwa kwa chama hicho, Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete aliziagiza Kamati za Maadili na Usalama, kuwachukulia hatua stahiki viongozi na wanachama wake wanaomwaga fedha ili kupata uongozi. Kadhalika, Rais Kikwete alipozungumza na wajumbe wa Halmashauri ya CCM ya Mkoa wa Mbeya, alisema kuanza kwa kampeni kabla ya wakati wake ni moja ya mambo yanayosikitisha na kwamba suala hilo limekabidhiwa kwa Mangula kwa hatua zaidi za kinidhamu.

Watakaowekwa kikaangoni

Mangula alisema wanaCCM watakaowekwa kikaangoni wapo katika makundi matatu, wakiwamo wale waliogawa fedha kwa lengo la kutaka kuungwa mkono katika harakati zao za kusaka uongozi wa nchi.

Alitaja makundi hayo kuwa ni wagombea wanaomwaga fedha kwa wanachama, mawakala wanaotumiwa na watu wanaoutaka urais 2015.
Viewing all 32622 articles
Browse latest View live